@sulesh_2025: Replying to @abouyaqub_abdulbaryMunamkumbuka sheikh ibrahim, yule msomaji wa kimataifa wa qur’an tukufu? 😢 kwa sasa anaumwa sana. tusimsahau katika dua zetu na swala zetu. 🤲❤️ na kwa wenye uwezo wa kumsaidia, msimwache katika kipindi hiki kigumu. msaada wenu unaweza kuwa sababu ya faraja na nafuu kwake. allah ampe shifaa kamili, amuondolee maumivu na amrudishie afya njema. na allah awalipe kheri wote watakaomsaidia. 🤲😢 #SheikhIbrahim #Quran #Islam #Dua #FYP
SULESH
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 03:24:17 GMT
Music
Download
Comments
suma :
ungetusaidia namba ya baba yake,tumtumie chochote
2026-08-06 04:32:39
3
Misaa :
Yaaa Rabbi nakuomba umponye Ibrahim najisikia vibaya naomba mtoe namba yake tumchangie tulichojaliwa tafadhali wekeni namba...
2026-08-06 05:23:12
2
Kiba5560 :
ewe mwenye zimungu muumba wa mbingu na ardhi tuna kuomba umfanyiee wepesi mwalim wetu kipenzi chetu
2026-08-06 05:41:08
1
ummu Nasri :
Ubinadamu hivyo kweli mwenzio yupo ndani amepatwa na mtihani wewe unapewa amana yake huifikishi tunakwenda kujibu nini mbele ya mola wetu mlezi 😭😭😭
2026-08-06 03:58:06
3
Ashabakar Ashabakar :
😭😭😭😭😭ndohuyu yarabi isikie sauti.hiyo yarabi mponye kwauwezo wako
2026-08-06 05:04:50
1
k rang :
ALLAH amponye
2026-08-06 05:01:31
1
Hamisi :
assalam alaykum,,,, ekeni namba yake angalau tumchangie pesa za dawa.. ekeni namba,, msiseme ametupwa na hatuna namna ya kumfikia. from Kenya
2026-08-06 05:49:11
2
GAO jr :
eeeeh mwenyezimungu kwa baraka za kuruanii hii mpe shifaa ndugu yetyu huyu inshaaallah
2026-08-06 03:54:19
1
Mahela enterprises :
Daah wekeni namba tumchangea
2026-08-06 04:31:08
1
omari Adamu Omari :
ewee mwenyezimungu we nimwenye kuona mwenyekusikia tunakuomba umpe afya njema mjaa wako huyu mwema imshaallahu
2026-08-06 05:29:23
1
juma masawe :
Allah ata kuponya inshaallah ewe kipenz cha Allah la basa twahura inshaallah
2026-08-06 09:23:32
0
✂️ ESCAPE barber shop :
wekeni namba tumchangie jaman hii ni Hazina
2026-08-06 09:21:13
0
Mwalimu Mamba :
allah ataleta kher zake
2026-08-06 08:51:53
0
Nofly8 :
Kwa utukufu wa Qur an tunamuomba Allah ampe shifaa
2026-08-06 08:44:58
0
Fatina hasani😍 :
🥰🥰🥰🥰 masha allah
2026-08-06 08:37:39
0
mikidadi ally :
allah amfanyie wepesi ameen
2026-08-06 08:34:28
0
Positive seven :
SUBHANALLAH 😥😥
2026-08-06 08:38:50
0
1643f6 :
Wallah tunalakujibu mbele za Allah , viongozi BAKWATA wanajisifia Mipunga na mabiriani 😭😭😭😭
2026-08-06 03:53:49
0
Shawwaal Sulayman :
Allah kwa neema na rehema zako, mponye mwanaquran huyu haraka sana.
amin.
2026-08-06 07:06:23
0
MakhAziz :
Allah ampe shifaa
2026-08-06 07:58:37
0
Sheikh Shariff Said John :
Allah amfanyie wepesi inshallah
2026-08-06 06:15:58
2
mkande :
allah amponye aendelee kusoma qir an
2026-08-06 08:32:18
0
Hongoa Issa :
daaaah asee mwalimu wangu mungu akuponye kwa kwell walimwengu wanamambo asee
2026-08-06 08:26:07
0
aminasaid366 :
Allaah amfanyie wepesi apone
2026-08-06 08:14:32
0
ummu Nasri :
Allah amps tahfifu
2026-08-06 03:54:39
1
To see more videos from user @sulesh_2025, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.