@mzeewakijiji1: Ufundi wa ushairi na hisia nzito za Taarab ya zamani kutoka Tanga. "Kweli alikuwa wangu lakini sasa sinave..." #ZanzibarMusic #OldIsGold. #SasaSinaye #ClassicTaarab #SwahiliMusic

Mzee Wa Kijiji
Mzee Wa Kijiji
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 06 August 2026 03:41:31 GMT
50780
1633
141
517

Music

Download

Comments

1firdhaus
Shammad collections :
old is gold... mziki bila jasho wala vurugu... maneno yaliopangika
2026-08-06 09:40:22
10
mbodzemwamasare
Mtapata tabu sana :
nani kaimba hii nyimbo
2026-08-18 11:24:55
2
user6768871275509
user6768871275509 :
gone are the days
2026-08-09 10:03:27
2
sitilhabaib6
💕 :
Nyimbo nzuri za wasaa za kufurahisha na hazina matusi wala maneno machafu nyimbo za mahaba nyimbo za sasa hatahuwezi sikiza machafu😅
2026-08-06 05:46:57
10
elcapone486
mohaa yusuf :
Masha Allah
2026-08-06 05:22:04
2
ally.said82
Ally Said :
MASHAALLAH
2026-08-07 17:37:41
1
zuhuramasud
[email protected] :
Old always gold❤️❤️❤️
2026-08-07 07:59:24
2
zaraqassym001
qassymmohdzara :
nauliza Saada Mohamed alienda wapi? aliimba mwambieni
2026-08-06 09:25:17
1
abdillatiff.moham
Abdillatiff Mohamed :
hoyyaaaaa waaaaa wazitowa wp hizi jamaniiiii watupa Raha wallahi
2026-08-06 13:14:39
2
nasramohammed449
Nasra Mohammed449 :
Taarab hii siyo ya Tanga, wimbo ni wa Culture Club ya Zanzibar, uliimbwa na Khamis Shehe Al marhum
2026-08-07 04:49:06
5
user2994399034352
Esh baiga3 :
Era of no return, haita rudi tena enzi hizo nyimbo zilikua na raha ajab
2026-08-06 11:52:22
4
yussuf.ame8
Yussuf Ame :
Safi sanaaa
2026-08-06 08:41:49
2
maalim_suhusu
Suhusu :
Ukweli mtupu unaoongelewa kwenye shairi hili. Zamani oyeeee!!!!
2026-08-06 18:55:20
1
sureboynasir
Sureboy Nassir :
mziki upo zanzibar asikuambie mtu bwana
2026-08-26 06:45:11
2
khalidmatimbwa1
Khalid Uwesu :
shukran hizi ndio nyimbo zenye kutuliza nafsi ya mtu
2026-08-06 07:35:08
2
emmyswillat
emmybeka2020 :
hii ni kutoka ZANZIBAR na co Tanga mbn unapotosha
2026-08-06 17:36:06
1
faraway2342
Faraway :
1989 mwaka niliozaliwa👌🥰
2026-08-06 19:33:09
1
user6768871275509
user6768871275509 :
surely this is something else from diferent world
2026-08-09 10:02:09
1
khadijanaseeb3
khadijanaseeb3 :
burudani tosha 👏
2026-08-06 13:05:58
1
mzeewakijiji1
Mzee Wa Kijiji :
"Maneno matamu na mahadhi ya kipekee, hapa kazi ilifanyika kweli."👍👍👍
2026-08-06 04:24:21
2
mzeewakijiji1
Mzee Wa Kijiji :
"Ufundi wa ushairi na hisia nzito za Taarab ya asili haziwezi kuchuja kamwe!"😍
2026-08-06 04:24:54
1
issamohammed486
Issa Mohammed :
Tanga gani hiyo
2026-08-22 19:06:11
1
user5423613401553
user5423613401553 :
sio kweli iyo imeibwa zanzibar na culture tanga na tarabu wp na wapi
2026-09-12 17:43:00
1
user14669207398521
ام صالح ❤️🇰🇪 :
ZILIPENDWA 🥰🥰
2026-08-25 15:15:23
1
meere_r
MEERE_R :
best of th best 👌
2026-08-06 09:31:43
1
To see more videos from user @mzeewakijiji1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About