@fertilityexpert: Je? Hili Ulikua Unalifahamu #swahilimedics

Swahilimedics
Swahilimedics
Open In TikTok:
Region: ZA
Thursday 06 August 2026 04:01:47 GMT
108178
5099
171
328

Music

Download

Comments

love69birs
first lady :
ivi kila kitu afanyiwe mwanaume kwani wao wanaume wanajua nini kuhusu sisi,😳😳
2026-08-06 08:12:45
47
suzanemmanuel212
Suzan 🥀💃 :
ko nyie wanaume mnatakaje sasa ili mtulie, mi mnaniudhi
2026-08-06 06:27:23
43
magretyibrahim
magcrochet :
nimeshachit na saiv nina Aman sas zaman nilikuw naumia mno mmewang akinichit lakin toka nichit na mm hata siumizwi tena na uchitiji😂😂😂😂😂
2026-08-06 05:28:10
112
jane.jackson07
Jane Jackson :
Ata sisi atutosheki na Mwanaumee mmoja ni tunajikaza tu😏
2026-08-06 04:32:55
24
user88459491629454
linah 06 :
sisi wenyewe tumepunguza kuwapenda kwan wao n wakina nani et
2026-08-06 06:35:37
44
pretorial_girl8
FifiMeme🤎🥀🖤 :
Bwana Tumewachoka kila siku wanaume wanaume kwani kwenye mahusiano wako wenyewe.......Mwanaume this mwanaume that hatutaki.........😂💔
2026-08-06 05:20:26
50
www.mrs.smile.com
mrs.smile😊♥️ :
hivi mtatufundisha adi lini mfanye muhame sasa kwenye Dunia yetu
2026-08-06 16:58:23
10
hellenladivah
—hellen—ladivah :
Acha atoke tu asa mimi nitafanya jamni 🥺
2026-08-06 14:29:17
3
55jooh
Jonathani Jr :
kila mtu ajipende mwenyewe jamani😁😁😆
2026-08-06 10:03:01
13
flowe8881
Sunflower🌻🌻 :
Sihitaji kufanya chchte na asitulie tu sijali mimi
2026-08-06 11:57:52
7
princess.nilmah
I'm mom G :
sasa mwanaume anahuruma na anatelekeza watoto anapiga mwanamke haachi ela ya kula na anaenda kulewa na marafiki anabaka analawiti???? au wew unazungumzia mwanaume yupi??
2026-08-06 13:34:04
3
vailethurassa
Moon light :
ifike mahali tuachane na mapenzi tutafute tuu pesa maana sijawai ona faida yake kama ni watoto mbona sikuizi wana pandikizwa
2026-08-06 06:37:44
4
user6566812818707
🔜✍️ :
nilimfanyia vyote hivyo matokeo yake ananiona si chochote kwake coz of money,msinishsuri
2026-08-06 11:43:40
7
parisjoberry_
Therealparixy_b3rry🍓 :
point nzur ila maelezo mengi ,unazunguka sana🤣🤣🤣
2026-08-06 05:43:12
10
reymers01
reymers1 :
All in all kila mtu afanye anachotaka bhna tusichoshane 🚮
2026-08-06 18:46:54
0
saturday130
Sarah Komba :
hata sisi pia hatutaki kuwa na Mwanaume mmoja tumewachoka pia kwani nyie mnajikuta ni wakinani😂
2026-08-06 15:29:48
9
user29724012656171
user29724012656171 :
jmn mtasema na nakusema ila trust me hakuna mwanadamu anatosheka isipokuwa ni kujizuia tu iwe mwanamke iwe mwanaume ndo maan tukaambiwa tumuishie Mungu tu maan hatuwez kutimiza tamaa za mwili
2026-08-06 14:33:52
7
binti_kunambi88
Binti👉Kunambi :
even you??
2026-08-06 13:11:27
2
keloloeleven
#de Phoenix ☘️ :
mwanaume sk zt hawajui wanachokitaka ata umfanyie kila kitu lakn atakusaliti tu
2026-08-06 21:23:35
2
ranybuny
zoyah23 :
kokorikooooo
2026-08-06 09:42:05
4
khadijalusambi
Exlibriss kalee :
mm najipenda bhna
2026-08-06 11:48:33
2
angele7799
Angele :
sijakuelewa vizuri
2026-08-06 08:25:24
3
To see more videos from user @fertilityexpert, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About