@user6817013234861: #Bila kadi utaisikia tu/ no like me 1tu

Abass soo
Abass soo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 04:37:42 GMT
12341
315
73
41

Music

Download

Comments

hantaali
Albajun :
kwani izo kadi kwanini wasitembee nazo kwenye gari wakawa wanawauzia watu
2026-08-06 18:48:26
7
saifsaify20
saifsaify20 :
Kibinaadam gari za abiria za binafs ziwepo kama kawaida na wao wawepo mtu chaguo lake
2026-08-06 19:23:09
7
yahyaali7595
yahyaali7595 :
Kadi zipo zimeanza kuunzwa wiki moja kabla ila kama kawaida yetu sisi wazanzibar ni dharau sana
2026-08-07 08:39:51
3
chid2154
chid :
mi naona TUMUELEKEEE ALLAH T
2026-08-06 12:29:15
9
sultanseif753
Sultan Seif :
TATIZO SEREKALI KUZUIA DALADALA BINAFSI NDIO TATIZO KUBWA
2026-08-06 14:53:52
2
sadlinah25
Sadlinah 👸🏿 :
kama mwezang anayo hiyo card akanitolea yy nauli haiwezekani?? yaani mfano akatoa 1,400,
2026-08-06 12:27:14
3
ghost_tz_
(XBOX1)ghost.tz🇹🇿 :
asa kwahalihii izigari sizitafilisi sheli mana mana ndani kunawatu wa5 alafu inafanyakazi sikunzima duh😂😂😂😂
2026-08-07 15:11:53
0
abdul_hakim117
Abdulhakim :
yajayo yanafurahisha,,,😁😁😁😁
2026-08-06 21:18:45
0
alimohd2182
Ali Mohamed :
na Bado mtasoma number
2026-08-07 05:18:16
0
jumaila_makeup
jumaila_glam 💄&wedding dress :
😂😂😂mwanzo tu
2026-08-06 22:51:16
0
ghamidhassan
comred wa zanzibar :
sisi wanzanzibar hatuki mabasi siis shida yetu kwnza atulete meli za kwenda pemba au zanzibar air
2026-08-07 07:30:46
0
yusuphermohamed
yusuphermohamed :
kabla ya mabasi kuja airport watoto wetu wadogo wanaokwenda school walikuwa wanapakiwa bure lkn sahivi hawapakiwa na basi haya wanatakiwa wawe nakadi
2026-08-07 15:29:42
0
seif.madole
seif Madole :
mtazoweya tu
2026-08-06 19:26:23
0
muddywise
Muddy Wise :
poleni watu wa route hio
2026-08-07 16:46:47
0
abdurahman.yussuf6
Abdurahman Yussuf :
mitano tena
2026-08-07 15:51:22
0
user8342116113618
Omar bare :
nchi wngu zanzibar 🤣🤣
2026-08-07 17:52:12
0
mrsmundhir1
🍫✨ 𝐃𝐀 𝐘𝐔U CHOCLATE CAK 🍫 :
me ayo ningeyasusia ayoo
2026-08-07 17:50:45
0
husseinbakar981
Husseinbakar891 :
Kwann kila kituo kisiwekwe mashine ya kukatia Kadi? kutaka mambo ya watu musio unaweza?
2026-08-07 12:01:48
0
maamy23
Azshar💞 :
Kwakweli serekli 🥺🥺😳😳😳mh
2026-08-07 08:01:40
0
salu.abraman
salu abraman :
oy gar zetu tusizizarau mbaya lakin zinatusaidia san 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-07 12:05:02
0
aitharkhamis
Aithar Khamis :
Mimi nnachoshangaa cad hazipatikan lakini kijangwani gari haiyondoki mpaka ijaee na njiani abiria wanaachwa
2026-08-07 17:56:42
0
mezi_10
Mohd Haji :
oya Mimi binapi hizogari siwezi kuzihitaji kwanza hazina faida huzipati muda muafaka lazima zichelewe kwahio zimesukumwa tu tuzitumie tunataka gari zetu zirudi bora mara mia gari zetu ziwe hata mbovu nibora zaidi Nasha ngaa kwanini tunafeli wapi hatuwezi kwenda Kwa waka bada kwenda mbele tunarudi nyuma mara miamoja doo
2026-08-07 18:28:20
0
nahiyamumy
Nahiya Mumy :
MUSIFUJE TIKET ZINATOLEWA KIJANGWANI 700 KWENDA NA KURUDI UNATAKIWA UKATE KABISA UNAPOKWENDA SAFARI YAKO UKIJUWA UNARUDI.
2026-08-07 20:42:38
0
babaiye15
Babaiye :
Mandamano lin
2026-08-07 14:11:58
0
maryamsalum140
Maryam Salum :
mitano tena
2026-08-06 20:24:01
0
To see more videos from user @user6817013234861, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About