@uhamiajiband: Uhamiaji Band ikitumbuiza wimbo wa "Karola" kwenye kipindi cha Good Morning Wasafi FM. Muziki wenye ladha ya kipekee uliowapa wasikilizaji burudani na kuonyesha umahiri wa bendi katika jukwaa la moja kwa moja. Usikose kuendelea kufuatilia na kuisapoti Uhamiaji Band. #WasafiFM #UhamiajiTanzania #MjueJiraniYako #UhamiajiBand #Karola @uhamiaji.tz

uhamiajiband
uhamiajiband
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 05:14:09 GMT
1905
93
1
8

Music

Download

Comments

abdulswamadumapan
k@n!d0 :
mkali chikwindo
2026-08-07 12:46:49
0
To see more videos from user @uhamiajiband, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About