hamumtaki selee eeh🤣🤣,,,me ningemchagua zangu suleimaan🥰mzee wa busara
2026-08-06 07:53:39
9
KIJANA MPOLE... :
🤣🤣🤣 et delila ila watu wamevulugwa
2026-08-06 05:23:26
12
sogory mpya :
we unae mpenda yuda tutakufatilia
2026-08-06 07:34:28
5
evid 17 :
nipeni mke WA Adam jamani😂🤣
2026-08-06 10:00:06
1
Zulfa Ummi salim :
mpaka hapo wanaume hata walokole wanapenda bad girls 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 08:06:20
8
Wallpaper_kaalii :
I see myself 😂😂
2026-08-06 05:56:41
0
clara_designs_tz :
yani wa delila wananitia tashwishwi kidogo😆🏃🏃
2026-08-06 05:58:52
7
Chimmy store 🥂 :
Na huo ndo ukweli wanaume wengi wanapenda uwe Delila 😂
2026-08-06 07:32:11
10
BLACK GIRL🌚🖤🖤 :
Mimi yuda 😂😂😂
2026-08-06 10:27:57
2
🦋Winnie🦋 :
😂😂😂 watu wa delila mnapenda kujiamlia mambo mnajua kilichomkuta Samsoni 😂🤌💔
2026-08-06 07:48:23
9
bee_kind🙈🥰 :
nafurahi sana hakuna aliemchagua suleiman wangu na utajiri wetu 🤣🤣 ukemwenza nauweza haswaa
2026-08-06 09:04:08
1
miss hap :
mbona wadada wote wanampenda yusuph
2026-08-06 08:51:11
3
joeh_ investment :
Yusuf nipo apa😂.
2026-08-06 08:09:16
2
Endy Baibe :
Wengi watajiuliza kwann wadada wengi wamemchagua Yusufu, nadhani majibu mnayajua lkn ukweli ni kwamba hakuna kama Yusufu kizazi hiki.hakuna na hakutakuwepo hata mwanangu hataweza hilo liko wazi. huyo aliemchagua Petro na Yuda wanaelewa pahala Dunia iko! anyway mimi hata huyo Goliath tungepambana tu😂
2026-08-06 09:04:55
3
£6..Martin 🔐 :
qwan akina Esther mkowap😂😂😂😂
wabarikiwa wenzangu
2026-08-06 08:21:55
3
_witness🤍✝️ :
hili kanisa lipo wapi
2026-08-06 07:24:31
2
To see more videos from user @accnuruyamaisha, please go to the Tikwm
homepage.