tunalewa sana kila wikend, maisha hutakiwi kujipa stress, the more you spend a lot of time thinking stressing abt changing your life to high remember life also still taking its place. life changes gradually to high level without any formula. kikubwa zingatia kufanya kazi kwa bidii pendeza, relax
2026-08-06 12:57:31
3
Lutaph Mohamedary🌵 :
ukwel unauma fact fact brouh
2026-08-06 13:10:11
0
Mussa Khissi :
very true
2026-08-06 14:16:12
0
waziri50 :
250,000
2026-08-06 12:21:59
0
SALU KHAN :
ni wapii uko wanalipwa laki sitas sisi uku tunajitolea 😂
2026-08-06 12:09:15
8
lu.offline :
hata hiyo million badoo
2026-08-06 11:30:15
2
我是罗姆米茶 :
Hv kuna mtu analipwa laki 5 kwel kaka
2026-08-06 11:49:14
6
Janethmapundaofficial :
Mtu halipwi na analewa
2026-08-06 16:45:52
1
appleuser67364323 :
Maisha yamekuwa serious tangu lini, mbona wote tutakufa tu
2026-08-06 12:06:25
4
Mva Iponya :
ohoooo
2026-08-06 08:09:56
0
Admire💕✌️ :
Jamani naombeni kazi🥺
2026-08-06 17:27:54
0
YG MANGUELY :
hayoo umesema wew kak
2026-08-06 17:23:21
0
amy_ :
watu mnaongea upuuzi humu, nilipo kuna mwalimu analipwa mshahara mdgo lakin ana ngombe 300+ na anamiliki shamba la kahawa na amejenga jengo la ghorofa, shida weng tumekariri mjini tu lakin nilipo sijaamin kuona watu wa hivyo, kuna watu ajira ni ajira ila utajir wake upo pembeni tusikariri
2026-08-06 16:13:39
0
kennytz :
nakusikiliza sana na kuelewa
2026-08-06 08:17:15
1
nasri :
kaka ataiyo ndogoo
2026-08-06 15:32:31
0
Buttoh :
Kaka umechelewa kuniambia
2026-08-06 16:04:50
0
Imma HSE⛑️🦺 :
Kuna watu wanalipwa 300k lkn posho zake ukijumlisha zote ni 3M
achana na hyo Kuna mtu analipwa 500k lkn marupurupu 5M😀
endelea kushauri mkuu
2026-08-06 16:59:29
0
Faah🫦👄👅 :
Kumbe mnalipwa jmn
2026-08-06 15:34:14
0
imatemba :
Eti kuelewa
2026-08-06 15:51:56
0
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.