@radiomariatanzania: KWELI NI VEMA NA HAKI TENDO LA KUFAA NA KULETA WOKOVU - Kweli ni vema na haki, tendo la kufaa na kuleta wokovu, tukushukuru wewe daima na popote, Ee Bwana; Baba uliye mtakatatifu, Mungu Mwenyezi wa milele..... Video ni Padre Boniface Mliga, Katibu wa Jimbo Katoliki Morogoro wakati wa Adhimisho ya Misa Takatifu ya mapokezi ya Sanamu ya Bikira Maria, yakipokelewa na wanajimbo Katoliki Morogoro katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Patrick, Jimboni humo. Matembezi hayo ni muendelezo wa Shamrashamra za kuelekea kilele cha Maadhimisho ya miaka 30 ya Radio Maria Tanzania. www.radiomaria.co.tz #UinjilishajiUpendoFaraja
Mtakatifu, Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi, Mbingu na Dunia vimejaa utukufu wako, Hosana Juu Hosana Juu Mbinguni, Mbarikiwa Ajaye kwa Njia Ya Bwana Hosana Juu Mbinguni🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-08-06 15:22:28
5
Kanumba8 :
Najivunia kua mkatorik
2026-08-07 18:40:15
1
PHILIPO ELECTRICAL CONTRACTOR :
THE CHURCH
2026-08-06 20:24:01
0
UNSTORPABLE MISALE040 :
daima mkatoliki🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-06 07:48:08
0
Cornel Assenga :
Amina
2026-08-22 06:06:52
0
Hendry Mkenda :
🥰 aaaaamina
2026-08-06 22:09:15
0
FLOBOYER :
ameni
2026-08-06 12:14:30
0
isaya :
mungu wetu wambinguni utuhurumie🙏
2026-08-07 17:48:39
0
Areza mkatoliki1 :
Aminaaa🙏
2026-08-06 09:34:52
0
jackline87 :
Amina
2026-08-06 13:53:32
1
Leodgar Massawe :
Amina🙏🙏
2026-08-07 08:54:56
0
lulu lion :
amina🙏
2026-08-09 14:36:59
0
pettymath 💙🩵💦 :
Amina🙏
2026-08-11 10:32:53
0
Simon Maricko :
Amina
2026-08-06 08:10:44
1
Michael mogera :
Amina
2026-08-06 08:23:25
0
lily💞💞 :
Amina
2026-08-06 07:58:10
0
mswimamswima :
amina
2026-08-06 10:42:39
0
Gabriel Kilosa :
amina
2026-08-06 13:55:45
0
Alex Beledian :
amina
2026-08-08 04:50:26
0
Irene 🥰 :
🙏🙏
2026-08-06 13:22:19
0
Kanumba8 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-07 18:37:08
0
Fortunatha James :
🙏🙏
2026-08-06 11:28:07
0
japhetkabelege :
🙏🙏🙏
2026-08-07 15:22:43
0
user1520804603581 :
🙏🙏🙏
2026-08-18 14:34:12
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm
homepage.