@kiswahilitvonline: Kila siku zinavyozidi kwenda Soft Ground Wrestling (SGW) kutoka nchini Uganda, inazidi kuzalisha mabingwa wapya na wenye uwezo katika kucheza mieleka. Na hivi karibuni limeandaliwa pambano kubwa litakalofanyika Agosti 23, 2026 ambapo Coolman atatetea mkanda wake dhidi ya mpinzani kutoka nchini Marekani anayeitwa Ena, pambano hili litapigwa ndani ya ulingo wa matope nchini Uganda. Kama na wewe ni shabiki wa mieleka usipange kukosa. 🔥🔥