@mifugo_podcast: 🐔 MAYAI VIZA HUTOKEAJE? ✓ Mayai viza hutokea pale ambapo wadudu ama Bacteria hupenya na kuingia kwenye yai kupitia matundu madogo kwenye ganda la yai huenda na kuvunja Protein na virutubisho ndani ya yai. Matokeo yake huzalisha gesi inayoitwa Hydrogen sulfide (H²S) ambayo ndiyo harufu mbaya unayoinusa kwenye yai Viza. #ufugaji #mifugotz #mifugo #ufugajiwakuku #ufugajikuku