@willy.kuku.farm: BADILISHA MALIGHAFI ZAKO ZIWE FEDHA! Je, unajishughulisha na ufugaji wa kuku, samaki, ng'ombe au nguruwe? Sasa ni wakati wa kutengeneza chakula chako mwenyewe kwa ubora wa hali ya juu kwa kutumia Pellets Machine ya kisasa! ✅ Hutengeneza pellets zenye ubora wa juu ✅ Huongeza faida kwa kupunguza gharama za chakula ✅ Inafanya kazi kwa haraka na kwa ufanisi ✅ Imara, hudumu kwa muda mrefu na matumizi yake ni rahisi Usiendelee kutumia gharama kubwa kununua chakula kilichotengenezwa. Wekeza kwenye mashine moja, ongeza faida kwa miaka mingi! 📍 WILLY KUKU FARM LTD 🏢 Makongo Juu, Dar es Salaam (karibu na Mlimani City) Piga simu au WhatsApp: 0676 464 617 Tunatoa ushauri, huduma bora na usafirishaji nchi nzima. Karibu uchukue mashine yako leo! 🚚🇹🇿 #PelletsMachine #creatorsearchinsights #MashineZaKilimo #Ufugaji #PoultryFarming

willy kuku farm Limited
willy kuku farm Limited
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 06:15:24 GMT
862
9
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @willy.kuku.farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About