kiuhalisia masheikh wanaoanzisha mijadala ya kukataza ama kupinga sio waislam ni makundi yaliyojipenyeza kwenye din ili kuugawa uislam sio waislam maana falsafa ya uislam ni kuktaza maovu na kuamrisha mema sasa yule aliemuamin mungu na mtume akafurahia na yule anaenda kanisani na kumpinga mungu na mtume mbona hamuwalinganii mkapiga kelele ama mmesoma ili muwagawe waislamu
2026-08-06 19:02:18
5
musa sheyza :
watuambie nguzo za maulidi ni zipi hizo
2026-08-19 06:32:17
1
salvatore4605 :
maulidi ni ya zamani sai ni madisco maulidi watu wameharibu
2026-08-06 19:34:18
3
Gwanta man ⛓️💥 :
hahaha apo kwanza ncheke
2026-08-06 18:46:30
3
Ally Kalaile :
wacheni bidaa haifai
2026-08-06 11:46:14
2
محبوب إسحاق بن عيسى :
حفظه الله ورعا شيخ أبد الله حميد
2026-08-09 14:15:57
3
Muruka Sheba :
😃😄😁ALLAH akbar
2026-08-20 14:56:52
0
Komora :
Sheikh:
Said baaraka llahu fiik.
kwa sababu hii n dunia na kuna hesabu mbele ya llah
2026-08-07 13:20:21
0
Gineshky :
hakuna siku
2026-08-06 18:35:50
0
alikhamisi2 :
Maulidi ni kumsifu mtume kwa heshima na sio lazima ngoma. watu waingie msikitini wasome Quran na sira ya mtume
2026-09-01 17:22:06
0
BIN MUHSIN :
Hii ni moja katika faida yetu watu wa twariqa la sawa tutaambinana na la makosa tutatanabahishana... nyinyi musiambianeni jambo lolote hata kama mtu yuwakosea Linda dirham na dinari
2026-08-20 13:35:23
1
حذيفة علي كاماو :
Nguzo ya kwanza ni nini😂😂
2026-08-23 07:34:41
1
abunarman🔐💍😘🇰🇪 :
fact kumbe sheikh abdallah humeid akiwajibu hapahapa mtandaoni ni sawa kisha baadhi ya watu ati hoo mtafute umuelimishe nje ya mtandao haya sheikh wenu wa twari kasema kwa mtandao umejiingiza mwenyewe so kujibiwa ni hapahapa 😂
2026-08-08 04:40:18
3
🌹 HUDhud Rose 💐💐💐 :
nguzo ya kwanza ni biriyani 🥰🥰🥰😁
2026-08-07 03:13:29
5
gatusso :
ndio hayo yanaofanyika maulidini amu
2026-08-06 19:15:53
1
Hassan Albeity :
إذا أسد اللمرالي غير اهله فا نطضرسعة
2026-08-08 21:52:44
0
Omar :
😁
2026-08-13 14:40:31
0
To see more videos from user @nassirmandela001, please go to the Tikwm
homepage.