@katango79comedian: NISHAKUA BABU GUYS🤣🤣🤣🤣🤣NIMECHOKA JAMANI😂😂😂😂#arusha #tanzania🇹🇿 #viralvideo #viral #fyp

katango comedian
katango comedian
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 06:32:26 GMT
17259
1417
31
23

Music

Download

Comments

neryamrosso
Nerya Mrosso :
Vaa tuu kofia kwanza 😆😆😆😆
2026-08-06 08:36:09
5
zuuh0149
@it's zuuh💞🦋 :
nafuu ata wew wanaishia kwenye mtu mim wananita mtu mkubwa😂😂😂
2026-08-06 14:08:01
4
dicsonswa
hellen :
tupo wengi sana 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 08:12:31
4
bahatimushi725
Mťú‐Ķàťí-💯 :
@Mťú‐Ķàťí-💯:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-08-06 07:12:13
2
anifamusa00gmail
[email protected] :
kwaiyo ushaa kua mtu
2026-08-06 07:57:46
3
kanout13
vicent 622 :
tuletee mjukuu wa kutetea waajiriwa kabla hujafa 😁😁
2026-08-06 06:38:02
1
nairahjames976
nairah james :
hahhha
2026-08-06 07:00:54
1
angle..009
Angel. :
hahaha ila wew😊
2026-08-06 06:37:13
1
oscarjr393
Oscarjr :
me walisema subiri anko apite 😂😂😂
2026-08-06 08:39:01
1
twinfrida.tillya
twinfrida tillya :
Mim walisema subiri mama apite😂
2026-08-06 06:42:32
1
user5690700246342
msuya merry :
kumbe umeonaee🤣🤣🤣
2026-08-06 12:09:01
2
asiaabeid4
asia :
😂😂 na mvi zinatoka
2026-08-06 10:23:32
0
ibra_ict1
IBRAWEST aka NgIDA ICT :
mie mademu wakala, wananiambia Baba Shkamoo yaani🥺
2026-08-07 11:08:28
0
emirate_barnabas
barnaba :
🤣🤣🤣🤣Aya bana
2026-08-06 11:38:47
0
salome_25tz
SALOME :
me kuna mtu alinipisha kwenye cit eti nikae😒
2026-08-06 11:44:38
0
user7618746192056
J tz :
mtu au Babu 😁😁😁😆
2026-08-06 11:27:18
0
mrdecent967
Mr ~Decent 🫶🫶 :
🤣🤣🤣🤣daaah
2026-08-06 15:37:51
0
user3796182584051
Monica :
hahaha kumbe we wanaishia mtu ,,weee me wanasemaga mtu mkubwa apite,,nyie nishazeeka
2026-08-06 17:53:39
0
sister.p__
pili :
nimecheka mpaka kis1mi kimemwaga Ute 😂
2026-08-09 06:34:25
0
vallah2005
luckvallah🤗🥰 :
acha tuu😄😁
2026-08-06 09:28:18
0
linah0310
#linah310🇹🇿 :
we unasema mtu me niliambiwa heshima kwa mzaz😂😂
2026-08-06 07:40:17
1
ontimehome1
OntimeHomestore :
Imaginw unazeeka ukilipwa kitasa kimoja kila mwezi
2026-08-06 20:54:14
0
janny0141
janny💯💫 :
😁😁😁
2026-08-06 06:37:38
1
anna.paulo728
Anna Paulo :
😂😂😂
2026-08-06 06:38:41
1
user41781375857784
ama :
😂😂😂😂
2026-08-06 10:17:44
1
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About