Wakishakosa furaha waliyotarajia ndipo wanakumbuka walikotoka. Lakini ukweli ni kwamba muda hubadilisha watu, na maumivu hubadilisha mioyo. Usimchukulie mtu kama chaguo la akiba; ukipuuza anayekuthamini leo, huenda kesho ukarudi ukute amejifunza kuishi kwa amani bila wewe.
2026-08-06 09:06:56
27
Pispino🏹⚽️☠️ :
tena jay alitakiwa asichat sanaaa ivy
2026-08-06 17:27:19
15
suleshboi :
watu wengi kwenye mahusiano wana mistake things over time & affection hatuikatai kuwa things .ie. money, assets huongeza value kwenye mahusiano but time mtu kuwa more considerate kwako, kukuzingatia, kuwepo kwaajili yako people always take it for granted but the lesson hits harder when you get all you needed but lacks time and affection for you ina distort everything like you wish this love never existed or you get back to the previous lover sababu was more real🥹. SOME SAD FACTS
2026-08-06 15:49:49
4
pretty fetty💕💕💦 :
hahahahha kumb ni fetty ni halal hakil zetu tunazijua mwenyew😂😂😂
2026-08-06 16:19:13
9
MADAM MARIAM :
Mlio kuwa mnasema anatania kwenye part 1 mko wapi?
2026-08-06 08:27:45
10
C.o.l.l.i.n Ckey :
kumb Kun mwendelez hii imekua movie sasa😅😅😅
2026-08-09 14:32:26
6
adelnah💋💋 :
Pigo la pili linaum kuliko la kwanza.
Nina ushuhda mieee
2026-08-06 17:54:22
10
Abdul bu2 :
big up for you jay
2026-08-07 15:04:01
0
moudkoffie :
huo muda wa kuchart nae pia me nisingekuanao aisee
2026-08-07 12:40:24
4
mr romantic🫶💕 :
respect
2026-08-06 19:56:36
0
FRANK OG 👑 😈 :
next
2026-08-06 07:29:12
1
Kaka muuza nafaka :
Babu we ni me kabisa
2026-08-06 09:36:23
2
Rangi Girl💝 :
Daah nlitak kufanya kam challenge kwa mtu ile part1 lakn naon ntaachwa kweli nmemwambia dada Ang awe Shahid kunitetea kasem hii kes itakuw ngum na mtu mwenyew sas😂😁
2026-08-06 09:46:49
1
Kevin Nate :
hii tamthilia inaitwaje
2026-08-09 07:03:25
1
𝐋𝐄𝐄 🕊️ :
Ila kumbuka wakat ikichomoka anairudishia na shoo inaendelea sijui unanielewa mkuu
2026-08-09 20:44:07
4
miss d 🌺🌹🌹 :
next
2026-08-06 07:55:57
1
meriimary :
unapata wapi mda wa kumjibu ex😏
2026-08-07 16:16:48
2
Hassan jumanne :
kaka mbona umeweka hazalani uhalisia wangu kabisa ananitesa fety mm adi leo hata nashindwa kuelewa kwani mm ndo pekeangu mbona nakutana na wanawake wengi ila bado yeye 2 kwann lakini daah😢😢😢😢
2026-08-06 08:32:02
1
░S░E░I░N░ 🇹🇿 :
Brotherhood is proud 😎🤘🏾
2026-08-06 11:44:08
0
Beautiful 😍❤️❤️ :
kama mimi Fety nisingemtafuta jey
2026-08-06 14:41:57
2
chimoo :
yaan akatembea na msg wako na unamrudia kweli mapenz shikamoo
2026-08-09 18:21:05
1
khadija dii :
et mume wng 🤣🤣🤣 kwa ndoa ipi jay anakuuliza
2026-08-06 18:00:53
1
To see more videos from user @true_stories_tz, please go to the Tikwm
homepage.