@thonias1718: WEWE UNGEJISHAURI NINI MIAKA 10 NYUMA?? #tanzaniantiktok🇹🇿 #lifehacks #marriagelife #swahilitiktok🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppp

THONIAS KITCHEN🫖🥂🥤🍴
THONIAS KITCHEN🫖🥂🥤🍴
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 06:49:56 GMT
29050
2083
100
259

Music

Download

Comments

missjayne016
Miss-Jayne01 :
Wellsaid mamy🔥
2026-08-06 08:43:19
1
its_annah_sneakersbags
its_annah sneakers _bags :
Zingatia,,Investing 📌📌📌💯
2026-08-07 08:33:08
4
annithadeus
Annie❤️ :
Thanks beib cic🥰
2026-08-06 19:23:11
1
marysavage072
Mariam Laurent :
ningejiambia nitunze pesaa 🥺
2026-08-07 04:29:12
23
__itskiki__
Kiki :
1.usikimbilie kufurahisha watu 2.Usiamini watu 3 jigunze saving 4.Usiogope kuanza kila mtu kaania chini 5.jifunze kusema hapana bila kujiona mwenye hatia 6.linda amani yako 7. Soma vitabu ujifunze ujuzi 8. Usijidharau mwanamke unaemtamani yuko ndani yako
2026-08-07 12:36:20
20
easterndebby
🌸 :
nisingepoteza muda na marafiki ningefocus na mambo yangu ivyo tu
2026-08-06 13:31:14
20
bocbby1
bocbby :
na lazm tuelewe kila lika la umri Lina mawazo yake na misingi yake kuna wakati ni ngumu kuishi maisha ya miaka 20 ukiwa na miaka 10 🙏
2026-08-06 13:09:47
42
ummy_iddi
Ummy iddi🥰 :
thank you sis ❤️
2026-08-06 16:54:21
1
priscy74
Priscy🦋🌸 :
well said
2026-08-06 14:48:56
1
.salma.ninoh01
Salma🦋 :
Nimekupenda bure dear❤️❤️🥰
2026-08-06 11:54:19
5
user43333990748697
hammy💫 :
mda mwingin manen yak yananifany nijion wa dhaman san ktk hii duniy na kujiambiy nawez ata kam bad nip chin san ila najisemey nawez
2026-08-07 06:26:07
5
cute..rehema
REHEMA💫🌹 :
Hii video imenikuta wakti sahihii😞🥰
2026-08-07 08:09:39
4
niffer0486
Niffer :
2026-08-06 11:31:33
2
neema.wiliam63
ney💝 :
kigine tusiotoe san sifa za watu wakati hatutawajua vizuri watu tuna wasifia watu kwa watu vizuri mwisho wa siku kumbe nyoka Asante my bab girl🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-06 12:06:28
14
baby.shaa65
LOML ❤️🫂🍁 :
me nna miaka 18 but nasikiliza na najifunza na i think ntakuwa katika kujipangia misingi mizuri ya maisha yang 🥰❤🫂🤗😊😊 god bless you cicy
2026-08-07 15:33:53
2
doricia.ndahani
Doricia Ndahani :
Adi nimeku follow 🙏
2026-08-07 06:57:49
1
sairealtz
user1027017447894 :
Ayo ni mapita lazma ilikua upitie so we songa mbele tu mungu yu pamoja nawe dada
2026-08-06 17:57:45
3
michael.matheas
Michael Matheas :
Uko sahihi kabisa dada me ni shuhuda wa hayo uliyoyasema🙏🙏🫶🫶
2026-08-06 08:39:37
7
claudine.kakembe
claudine kakembe :
Asante Asante🥰🥰🥰🥰
2026-08-06 18:00:44
1
user2818014873161zzouh
zulfa mandia🇹🇿🔥🌹🇦🇪 :
su sijachelewa huu ndo wakat sahihi
2026-08-07 06:23:20
2
toumaprime1
toumaprime1 :
2026-08-06 13:15:01
1
pamelazabedi2
pamelazabedi :
Nashukuru sana dada
2026-08-06 16:28:03
1
josephine63679
joo :
mm hua naijutia nika saba iliyo pita sqsaivi nawachukia dugu zagu wote
2026-08-06 17:26:16
4
maingu.majaliwa
Maingu Majaliwa :
well said sis🥰
2026-08-06 08:56:56
0
To see more videos from user @thonias1718, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About