@tibelatk: ​Usaliti wa mwanamke na mwanaume hauwezi kufanana. Mwanaume anasukumwa na tamaa, lakini mwanamke anasaliti baada ya kufanya maamuzi ya makusudi kabisa. ​Ukimfumania mwanamke anayekusaliti, unampa nafasi nyingine au ndio mwisho wa safari? ⚡ ​Tirika kwenye maoni... #TrendingSwahili #AminiKwamba #FypTanzania #RelationshipTalks #MamboYaMahusiano

TibelaTK
TibelaTK
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 06:51:07 GMT
36380
1221
28
290

Music

Download

Comments

flyhighcaptainbaraza
𝘋𝘢𝘯 𝘞𝘦𝘤𝘩𝘶𝘭𝘪 👑 :
𝘶𝘬𝘸𝘦𝘭𝘪 𝘬𝘢𝘣𝘪𝘴𝘢 𝘥𝘢𝘥𝘢𝘯𝘨𝘶💔
2026-08-21 07:47:37
0
user5152932832880
user5152932832880 :
dada mitano tenaa nakupenda buleeeeeee
2026-08-06 19:26:48
1
user5706397936147
user5706397936147 :
nikwel kabisa
2026-08-15 08:13:46
1
user8613468034913
carolz mamagirl :
sitaki kusamehewa mm
2026-08-22 06:01:19
0
immanuel.jackson5
Immanuel Jackson :
point
2026-08-13 16:00:13
1
user79715391009753
antony m' mwika :
true
2026-08-21 22:43:38
0
rpg7791
Rpg :
Hakika 🙏
2026-08-17 02:08:25
1
kapele.mzee
Kapele Mzee :
kweli kabisa
2026-08-16 05:18:58
1
phostinemhumble
Mwalimu wa fikra chanya(PHOST) :
ukweli kabisaa
2026-08-07 03:27:57
1
abzuky
Abzuky :
ulinzi mkali Kwa huyu mama
2026-08-17 21:47:00
2
user42663077006603
Rioba :
ukweli usemwe pongezi mtangazaji
2026-08-15 21:22:07
1
0741684115.bravius
0741684115 Bravius :
kweri ukosaii mama
2026-08-09 04:25:38
1
justinmokaya135
Justin Mokaya :
ukweli hakuna usama
2026-08-14 18:27:01
1
simon.kambale2
Simon kambale :
kweli
2026-08-19 16:37:35
0
sirgeorge.massae
@SirGeorge.Massae :
Ni kweli kwa 100% Mm ili nitokea nikasamee lakini alinisumbua sana na haikupita hata miezi 5 tuka malizana
2026-08-08 21:22:36
1
jamesennanuel
Festo James :
True💯💯💯💯💯💯💯
2026-08-07 03:38:45
2
penielkisarika
Peniel Kisarika :
usimsamehe
2026-08-07 03:54:45
0
kyandojustine
TALAMBE HOUSEWARE :
saf
2026-08-06 14:17:03
2
cateshi3
Cathy shii3 :
Wanaume mnachekewa huku comment section 🤣🤣🤣
2026-08-10 07:04:56
0
user2242612271065
pappayake mafresher :
hakika
2026-08-23 19:55:59
0
iddimohammed51
iddi mohammed :
absolutely 💯
2026-08-07 15:33:02
0
walter37643
WAGY ELECTRIC :
Nitaacha wangapi. Sasa dawa kukaa kimy mpk aondoke mwenyewe lkn udum zote nitampa nampk amekusaliti lazm kuna mapungufu yanngu mim mwanaume ata uyo nitakae mtongoz pia sitamkuta na bikira bwana napia anaeza nayeye kusalliti kam wa kwanza kikubwa mwanaume tambua unakosea wap
2026-08-07 04:28:05
3
user9194130019137
W :
sahihi kabisa dadaa, huyo akusanyee tu vinavyoo muhusu kwaooo
2026-08-07 08:19:50
1
faustineystanley4
Faustiney Stanley :
kweli bi. mkubwa
2026-08-21 11:18:36
0
estmbi5
Estmbi0512 :
Huu ndo ukweli!!Swala la shetani,huwa wanalisema kwa sababu wengi ndo shetani Mwenyewe
2026-08-16 21:47:04
0
To see more videos from user @tibelatk, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About