@awakenedgiant1: Umba matokeo unayoyataka katika maisha. #Uumbaji #Kusudi #Afya #Utajiri #FuranaNaAmani

Awakened Giant
Awakened Giant
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 06:58:19 GMT
13765
1103
38
85

Music

Download

Comments

tecmary6
tecmary🌹❤️🥰 :
sisi sio waumbaji muumbaji ni Mungu pekee bro mbona utupi kanuni ya kuumba binadamu ata sisimizi tu haiwezekani😁😁😁
2026-08-06 12:24:50
4
saidmwemezi
Sayeed💠 :
kama humuelewi tafuta kitabu cha HOW TO THINK AND GROW RICH. Maana naona baadhi ya watu wanafikiri muumbaji ni Mungu pekee wakati ata vitabu vya dini vinasema Mungu amemuumba mwanadamu na akamwagiza akaongeze katika vile alivyoviumba. aliumba binadamu wawili tu ila leo duniani Kuna binadam zaidi ya billion 7. huwezi pata mtoto bila kuamua kuumba, huwezi kupata nyumba bila kuamua kujenga (kuumba) n.k ..amkeni dini ndio gereza lako.
2026-08-09 06:23:44
14
stellajohn679
tibilengwa kemmy :
sema point direct
2026-08-06 09:03:28
11
salimalaquimane
santana444 :
go to the point
2026-08-09 06:46:59
1
elephanto_byamonde
buklyric :
interested
2026-08-09 11:28:16
1
arka.akte69
ARKA☀️ :
Ukweli kabisa
2026-10-03 06:59:02
0
shau6971
shau :
Mimi ni mtu mmoja nliekuelewa🫡🫵🙌🙌🙌
2026-08-06 07:32:37
7
user1424955921581
faiza :
yaani asante sana broo
2026-08-06 07:45:19
2
zionflowofficial
ZionFlow :
ongea fasta fasta kidogo nataka nikaone maziwa jikoni
2026-08-06 20:00:15
2
magiemushi
Magie :
Ukisikiliza kwa makini utaelewa😊
2026-08-06 13:04:33
2
user6275461630448
user6275461630448 :
mmmh kweli
2026-09-27 15:06:36
0
user4398825686731
opobo :
upo vzr
2026-09-29 18:59:21
0
godfreykambwili
Godfrey Kambwili :
fact blaz
2026-08-27 16:02:26
0
beckys_secret_store
Secret Glow✨ :
Je unachoumba kusudi la Mungu, Ni vizuri sana kuumba Ila usiumbe tatizo
2026-08-06 14:36:31
2
talkwithhappie
talkwithhappie :
Nimekuelewa sana
2026-08-11 09:22:34
0
fety488
fety488 :
hee tumeanza kuwa waumbaji
2026-08-06 18:15:30
0
maplan.og27
maplan og27 :
dah broh unamadini sana kaka taman nikutane nawew unifungue zaid
2026-09-30 16:25:35
0
farida.lwenge
Farida Lwenge :
nakuelewa sana bro mi nimeumba vingi ndugu zangu hawaamini nilipo sasa maana nimetokea kwenye zero na sasa naweza kusema si habaa
2026-09-19 10:14:04
0
hamdy.faradja
Hamdy Faradja💫 :
Point 👌
2026-08-08 16:36:59
0
angelangudungi4
angelangudungi4 :
Unaanza na utashi
2026-08-07 04:43:32
0
talkwithhappie
talkwithhappie :
Ukitafakari hata ndege ilitengenezwaje nikatika huu mfumo maana kwa akil yakawaida haiwezekan
2026-08-11 09:23:33
0
www.focus0
Føcus :
upo sahihi san bro uwo ndio ukweli
2026-08-06 18:45:15
0
piegeeofficial
Pie gee official :
fact brooo👍🏾
2026-08-08 19:33:51
0
luthyherry
luthyherry :
Ongea haraka haraka basi
2026-08-06 12:41:06
1
miss.fly65
miss fly🦋 :
tena kama sisi wanawake ndio kabisaaaa🥰
2026-08-07 19:19:03
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About