@minner_juicebar: TENDESHAKE HEAVY YA KIBABEE 💪 Ladha ya juice yetu ya TENDE na ubora huwezi kuupata sehemu ingine kabisa 🙌 Viwango vina zingatiwa , Maziwa ya kutosha hatuweki majii 😋👌 Glass 8000/= 1ltr 11000/= 3ltr 22000/= Tunapokea bulk orders at a very affordable price. Karibuni sana! 📞 ☎️ 0659668048 / 0678625313 📍Sabasaba opposite na ljenga Shell (Near to Bunge of Tanzania) Road Inn #tiktok #fyppppppppppppppppppppppp #minnerjuicedodoma #viralvideo #trending
minner_juicebar
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 07:00:56 GMT
Music
Download
Comments
G.MALKIA FASHION :
Shingapi glass
2026-08-06 14:40:27
1
Ummu Afnaan :
powerbank🥰
2026-08-06 10:13:46
8
@official wama store :
samaham ety baada ya korosho umeweka nn
2026-08-06 11:45:53
6
Mama G :
nikifikaga tu kwenye bei ya almond nachoka 😢
2026-08-06 10:00:07
2
I'tc icon💜 :
ni tamu au
2026-08-06 12:46:56
0
#Miss E🦋🦋🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
vip mwanamke naez kunywa?
2026-08-06 08:06:07
0
Masil0🌹🦋 :
ten chap
2026-08-06 13:14:06
0
Anty mamy💕 :
Baada ya almonds umeeka nn dada
2026-08-06 15:01:59
0
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
na tulio kuwa mabachera hatuna wenza tunatumia hiyo
2026-08-06 13:03:50
0
Janeth Paul :
mtoto je
2026-08-06 10:15:46
0
𝔇𝔥𝔢𝔢🎈 :
mbon hujatia ndizi na nazi jmn
2026-08-06 08:21:14
0
smartgirlie :
aaaaa okyy
2026-08-06 13:27:56
0
SHOP_WITH_HALLIE🛍️ :
Kama ana mzio na maziwa unafanyej🥺
2026-08-06 13:18:41
0
G wa khery. :
inasaidia nini mamy
2026-08-06 13:23:56
0
smartgirlie :
ivi maxiwa ya unga yanafaaa ukishayakorog n majii
2026-08-06 12:10:33
0
shuu🦋💙 :
kwahy tende ukisaga inasagika mpk vimbegu
2026-08-06 12:08:00
0
raymami :
Hatakama nina njiti 😳 😂
2026-08-06 15:15:11
0
🦋Tina🥰🦋 :
Tena mapacha 😂😂
2026-08-06 13:53:32
0
essy😍🍂 :
kuna mwanamke alisema hiyo ni GB za mwezi mzim bila kuisha😂
2026-08-06 13:57:56
0
anethswai7 :
@Glory Tarimo n wewe ni hivi
2026-08-06 15:36:29
0
Luzinga Hussein :
🥰🥰🥰
2026-08-06 09:59:11
1
rose lyimo :
😂😂
2026-08-06 11:29:40
0
Pretty ammy :
@Magdacollection🛍️❤️
2026-08-06 15:21:25
0
Ciara🌸❤️ :
@Hami👑
2026-08-06 11:57:18
0
Adezie :
👌
2026-08-06 15:51:46
0
To see more videos from user @minner_juicebar, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.