@william_creator: our love story ❤️ #traveltv #Love #LoveStory

Traveltv
Traveltv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 07:22:46 GMT
329379
22705
147
773

Music

Download

Comments

ziadatiktok.c
ziadha moses :
kukuchit nitachit ila sit kuonyesha na nitakuheshim
2026-08-08 16:23:10
25
johnaqzf8xu
BIG SEVEN FURNITURE KATORO :
kuna wengine tumeshasalitiwa na hatujapararaiz😂
2026-08-07 14:52:09
30
city1747
KH. :
Sio kwa hao viumbe🥺
2026-08-07 13:41:41
33
ana.samata
subra n ngumu ila Ina malipo :
mume wangu popote ulipo nitakua nawe
2026-08-06 22:41:07
19
coldliketz
COLD LIKE TZ ❄️🇹🇿 :
kwani hawa nao ni nani
2026-08-07 20:21:13
5
kennywinslove8
Mr Kenny :
Hakuna mwanamke anaweza fanya hayo yote atajibu ndy wakati huo sabab uumzima na anahisia za kwel juu yako kuna kukosa yale ambayo alikua anapata ukiwa mzm leo haupo sawa pia kuna kuchoka atakuona mzigo t kwenye huo uzaif wako upendo utakufa t kwa sasa hawezi kukupa jibu la kesho ni ngumu ila jb unalo mwenyew
2026-08-08 10:04:56
9
william.mpendawali
William mpendawali :
anakudanganya huwa hawakatai lakini ikitokea anakuwa wakwanza kukusaliti mimi nilimuuliza mke wangu mke wangu ikitokea tumeshindwa kabisa kuelewana baina yangu na wewe je hawa watoto utaniachia akajibu 1.hatamani kusikia kuachana 2.watoto hatawaacha lakini mpaka leo siko naye na watoto kawaacha leo ni miaka sita
2026-08-10 03:27:44
3
annastacianaekunk
Annastacia naeku Nkurumua :
love this couple aki,,,
2026-08-08 18:24:55
1
slyvestersalum
slyvester :
😃😃😃 so kwa wanawake wa leo kaka
2026-08-07 16:06:46
6
dyannhmkweji6
Dyannh!!!!! cute :
me mgen Jaman ety awando diamond na zuchu
2026-08-10 06:25:13
3
teedaughter02
tee🎀daughter :
ngoja mm nichekee😂😂
2026-08-07 15:35:36
2
jerumusalika761
[email protected] :
mhh Huyu anakbl tu siyo rahisi hivyo
2026-08-08 20:27:02
2
nchu.tz
N@CHU 42 🇹🇿🇹🇿 one 🧤 :
ni mbele ya kamera tu tukifik nyumbn tutazungumza
2026-08-07 23:02:36
5
rizikikazungu126
esssy29rzk :
napenda simile ya huyu mdada sana
2026-08-06 12:15:28
7
ikimusic69
IKY🎃 :
mimi nilipata ajali nikavunjika miguu yote miwili nikawa nipo siwezi kufanya kazii mademu wote walio sema watakua na mimi daima walinikimbia akabaki MAMA YANGU TU kwaiyo mwanamkee pekee anae weza kukuvumilia ni MAMA AKO tu
2026-08-11 20:48:03
0
kazimilyfikiri
Kz@5 :
nimependa stor enu aise
2026-08-08 08:15:40
1
kansimbachana
Kansim bachana :
hao wanakua wema kipindi ukifaiti ira ukipata tatizo wanakuacha na matatizo yako
2026-08-09 11:16:24
1
shamyngumbi
Deilani Official :
wallah nko palee ba mpz itakua kutesa kwa zam🤣🤣
2026-08-07 19:09:28
2
martialdematthew
Matheu's de :
Aya bhn
2026-08-07 12:27:48
1
michaelleo_official
Michael Leo :
Yaani uulize swali hapo halafu majibu yake yakupe uhakika😂😂😂
2026-08-07 19:23:23
2
abedimzava573
mnyamwez kwasana :
aloo swal nic san
2026-08-08 03:28:37
1
fifijay020
La Fifi💞 :
mambo ya ikitokea...kama hivi na hivi..khe
2026-08-07 17:06:11
1
famous.magayu
THEE DENVER MAGAYU❣️❣️ :
I just love you guys ❣️❣️
2026-08-06 08:58:29
1
bukurujize
BUKURU JIZE :
hi
2026-08-07 08:20:31
0
To see more videos from user @william_creator, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About