heavy duty is not for the weak mkal🤞 one love kwa ma op
2026-08-06 18:56:13
1
OP.Traveller🫡 :
kaka respect
2026-08-07 07:26:14
0
Niko Mgata :
ndonapendaga kubembea pembeni ya milima huwa nafulahi sana oya op nipelamani
2026-08-06 08:17:54
4
Evanda Kulanga :
ok
2026-08-06 08:04:02
1
Zummo OG :
Operators for life
2026-08-06 09:03:41
0
rajab champion TZ🇹🇿 :
oa bro mbona nihatar
2026-08-06 08:41:52
1
Abishaimkuki :
nakubali mkuuu katini ni kazi ngumu sana
2026-08-06 09:38:47
1
Hêmedy Zøzō :
wengine utaskia kajipata asaiv apokei cm kwa wakat awaelew
2026-08-06 18:32:03
1
Op eliudi 777 :
Noma sana op
2026-08-06 07:49:50
3
Op Benard👷🏾♂️♋️ :
Acha kuogopesha watu 😂😂
2026-08-06 16:45:54
1
Japhet masai op :
amin mwanangu kunabda noma
2026-08-06 08:17:27
2
adamsimba8 :
sure kabisa op mimi nacheza na kindege tu 7.00AM TO 6.00PM😅😅😅
2026-08-06 20:44:06
2
OP ELLY :
Aise ni💪💪💪
2026-08-06 19:17:48
0
YOUNG HEAVY OPERATOR :
ningependa ungesema watu wa borow pit wapokeeee tu
2026-08-06 10:57:51
0
japhethandrew5 :
noma saa
2026-08-06 08:47:37
1
Mnkande :
nakubal op
2026-08-06 12:44:19
0
CH!Z0L@ 🔥Jr Op🦺🦺 :
MAISHA YA KWELI hapo unaomba umalize kazi TU
2026-08-06 12:23:45
1
Msenegal🇸🇳 :
ukishaaaitw op tena wa mnyma excavator bas anza na mungu mwnng maan kuna mda unakaa kweny mashine ukishuka ndo waaanz kushaangaaa hiv kumbe nlikuw ple
2026-08-06 12:33:27
0
Op for life 🦺 :
kabsa yaan simu mda mwingne naeka airplane mode 🙌
2026-08-06 07:41:29
1
Levokaltus :
Kuna watu uvumilivu hawana wanaishi kusema Wana tunadharau , na hawa mabinti nao husema mtu anae kupenda hakosi muda kwaajili ya mpenzi yaaaan dah huwa hawaelewi aseee.
2026-08-06 09:11:50
0
Joji Ladislaus :
🤝 ni kweli op
2026-08-07 15:19:22
0
🦋 Light bringer 🦋 💎 :
Mungu tu🙏🏼
2026-08-07 15:25:32
0
Klyro :
lakini pia mshahara wake mkubwa.
nimefanya 2021 iringa kipindi nimemaliza chuo.
baada ya Boss kufariki nikapoteza Kazi. mke wa Boss (sikuombei mabaya ila sawa)
2026-08-07 08:41:11
1
matic silas :
hatar sana 🫵🫡😎
2026-08-07 13:28:11
0
operator🇰🇪🇺🇬🇨🇩 :
alafu bosi analeta utani kwenye mshahara
2026-08-07 06:18:09
2
To see more videos from user @op.maujuzi, please go to the Tikwm
homepage.