@shazhn__sar: #ak #rasty_lak #aktiv #s

dli_dar23
dli_dar23
Open In TikTok:
Region: IQ
Thursday 06 August 2026 08:08:52 GMT
97851
7910
9
3527

Music

Download

Comments

ic.naza.14
ᥫ᭡𝐍𝐚𝐳𝐚🕊️,, :
مەینێرە بینیومە@ᥫ᭡𝐁𝐞𝐳𝐚𝐫
2026-08-06 08:44:58
49
yamur_ii01
Hela ✨⚜️ :
@𝓫𝓪𝓼𝓱𝓭𝓪𝓻⌛ 🥰
2026-08-06 10:26:23
6
kani7768
Kani...222, :
@😂😂
2026-08-07 11:06:42
1
lluliiii7
L🐚🪞 :
@﮼هاوکار🤍
2026-08-06 13:53:53
3
shazadam93
مانگ🖤 :
🤣
2026-08-06 13:46:14
2
zina_.010
zina💗⋆˚𝜗𝜚˚⋆ :
💗
2026-08-06 12:47:19
2
sebby_3747
Sebby 🖤 :
😂😂
2026-08-06 14:17:05
2
sunflower21255
﮼لالە :
@SARKAN 😌🎀
2026-08-07 18:04:48
0
To see more videos from user @shazhn__sar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Madereva wa malori na mabasi wametakiwa kuongeza umakini wanapokuwa barabarani, hasa wakati wa kubadilisha njia, kuingia mbele ya magari mengine na kufanya overtaking, ili kuepusha ajali na kuokoa maisha ya abiria pamoja na watumiaji wengine wa barabara. Akizungumzia tukio lililonaswa kwenye video, mtoa maoni amesema baadhi ya madereva wa mabasi wamekuwa wakifanya vitendo vinavyoweza kuhatarisha maisha ya abiria, hususan wanapoingia kwenye njia ya magari makubwa bila kuhakikisha kama kuna nafasi salama ya kutosha. Katika video hiyo, basi linaonekana kuingia mbele ya malori yaliyokuwa yakisafiri katika eneo hilo, hali iliyomlazimu dereva wa lori lililokuwa nyuma kupunguza mwendo ili kulipa basi nafasi ya kuingia na kuendelea na safari. Mtoa maoni amesema tukio hilo linaonesha umuhimu wa madereva kutumia udereva wa kujihami, ambapo dereva anatakiwa kutambua makosa yanayoweza kufanywa na mtumiaji mwingine wa barabara na kuchukua hatua mapema ili kuzuia ajali. Amesema si sahihi kwa dereva kuingia katika njia ya gari jingine kwa kutegemea kwamba dereva huyo atapunguza mwendo au kuongeza nafasi, kwa kuwa kufanya hivyo kunaweza kusababisha madhara makubwa iwapo dereva mwingine hatapata nafasi ya kuchukua hatua. Aidha, amesisitiza kuwa suala la overtaking linahitaji umakini mkubwa, kwani dereva anatakiwa kuhakikisha kuwa eneo lililo mbele ni salama kabla ya kuanza kulipita gari jingine na kwamba kuna nafasi ya kutosha ya kurejea kwenye njia yake bila kuhatarisha wengine. Kauli hiyo imekuja wakati ambapo kumekuwa na mjadala kuhusu ajali zinazohusisha mabasi na malori, huku baadhi ya ajali zikitajwa kuhusishwa na uzembe, overtaking isiyo salama na kutokuzingatia mazingira ya barabara. Mtoa maoni amewataka madereva wa malori kuendelea kutoa kipao mbele pale inapobidi, lakini pia amewataka madereva wa mabasi kutotumia vibaya ustaarabu huo kwa kuingia kwenye njia za magari mengine bila kuhakikisha usalama. Amesema kutoa kipao mbele si udhaifu, bali ni hatua ya kiusalama inayoweza kuokoa maisha, huku akisisitiza kuwa kila dereva ana wajibu wa kuhakikisha anafika salama pamoja na kuwahifadhi watumiaji wengine wa barabara. #chawamata_tv #madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #madeintanzania🇹🇿 #viraltz

About