@rickcreative.tz: Jayruty akubali challenge aliyopewa na mashabiki wa Simba kuwa auze jezi kwa shilingi 100,000 hili awaletee Feisal Salum. #dexonline #hatuachikitu

Rick
Rick
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 08:11:42 GMT
79864
5418
89
45

Music

Download

Comments

am.evelyn29
Am evelyn❤️ :
jeylutty baba mkwe wanguuu😁😁
2026-08-06 16:12:53
0
joseph.nyiriri
Joseph Nyiriri :
100000×3300=330,000,000 🥰🥰🥰
2026-08-06 17:18:39
0
yoramdemas515
Yora :
Vision is ability to see what other their can’t see.
2026-08-06 15:48:14
0
fahadwazirijuma_
fahadwazirjuma_ :
150000 tufane
2026-08-06 13:20:09
0
dizok6
dizok :
lete lipa🔥
2026-08-06 10:07:07
0
hombyjr1
HOME OF WISDOM MEDIA :
shida Mo hapendi kusikia hivi...😂
2026-08-06 10:45:05
17
gidionshemazunde
Gidion Shemazunde :
halakisha tununue mimi nanunua 5
2026-08-06 10:33:32
7
annastaziandege78
A m n@¥ :
kaka m ntanunua na za familiy yangu ila fei aje kaka
2026-08-06 18:15:06
2
wande7329
wande boy :
jezi ya simba shingapi jaman mbona hamtaki kutuambia bei
2026-08-06 11:23:08
6
user2288559305784
S EKU TZ 1 :
weka lipa namba weka jezii chap
2026-08-06 14:09:23
2
user98275615651938
calvinmbogo720 :
eka lipa nachukua jez mbil
2026-08-06 10:44:40
2
yahayasaid000gmai
[email protected] :
kama kashindwa moo ya ata wezaaa
2026-08-06 10:38:37
3
hajiq234
Haji :
jaman weken lipa
2026-08-06 10:24:16
1
starlford121
Brizy :
kumbe hadi anajua tunamtàka na hawataki na alisema mnayemtaka nitamleta anaenda kuleta vya hovyo
2026-08-06 12:53:05
1
ramxo_45
ramxo jr tz :
iwekwe ataleo nitanunuwa jez Mmoja ata kwa Raki 3. tna nitakuwa wa kwanza mamayee mi mwema
2026-08-06 11:12:58
3
mulungwana2
mulungwana :
wanachelewesha wawo
2026-08-07 06:34:18
0
michaeljuvenary
michaeljuvenary :
Awez kufanya hivyo
2026-08-06 21:24:54
0
user1142704661465
chiffbon :
mimi mwenyewe nanunua pea 10 kwaiyo bei ya jz moja laki
2026-08-06 19:29:03
0
iamgab71
iamgab :
aweke bass minataka 5 kwabei yoyote
2026-08-06 15:21:40
1
edu68255
Edu68255 :
siyo rahisi kama mnavyoongea , uzuri ni kwamba jay rutty ni akili kubwa
2026-08-06 15:12:52
0
hamza.hamzadog
Hamza Hamzadog :
hata mm tanunuwa tena nanuwa peya tatu
2026-08-07 09:49:16
0
joseph.nyiriri
Joseph Nyiriri :
oya mwambie afanye halaka 🥰🥰🥰
2026-08-06 17:16:07
0
peter.bishoo8
PETER STAR☠️🇰🇪 :
apo hamna msajili
2026-08-06 18:23:12
0
user128937741
صَاحِب قَرَار :
me wakwanza
2026-08-06 17:52:49
0
mandozarikado2
mandoza rikado :
sikieni wote hapo sio fesal yoyote unaye mtaka simba tunaweza mashabiki tunaweza
2026-08-06 18:12:19
0
To see more videos from user @rickcreative.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About