@suleiman._bey: MTUME MOHAMMAD ATAENDA KUWASHTAKIA KWA ALLAH ( S.W ) WATU WA AINA NNE :- 1. UMEZALIWA KWENYE UISLAM LAKINI HAUJUI KUSOMA QUR’AN KABISA, 2. AMBAE ANAJUA KUISOMA QUR’AN LAKINI HAISOMI QUR’AN, 3. ANAEIJUA KUISOMA QUR’AN NA AKAWA ANAISOMA QUR’AN ILA HAJUI MAANA YAKE, 4. ANAJUA KUISOMA QUR’AN ANAISOMA QUR’AN NA PIA ANAJIUA MAANA YAKE ILA MATENDO YAKE YAPO TOFAUTI SIO KAMA ILIVYO KATIKA QUR’AN. #mawaidha #mawaidhayenyemanufaa #mawaidhayakiislam #mawaidha_swahili #mawaidha_kenya
Islamic content🕊
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 08:12:40 GMT
Music
Download
Comments
meddy meddy :
subuhannallah allah atuhifadh kwakweli ya rahman tusamehe sisi waja wako wakosefu
2026-08-06 20:54:19
44
Dogo l!she45 :
Asante shekh unatufundisha vizur
2026-08-06 08:19:32
27
Ebleح :
May Allah forgive us
2026-08-07 00:09:14
14
bin hamis kapuga :
naomba namimi mungu anifanyie wepex namimi niixome koloan
2026-08-29 18:00:12
8
al bar waan :
Allah atuongoze wallah[Embarrassed]
2026-09-15 05:55:00
1
H B M :
allha akubar shekhe wangu kwa kutuonyesha njia sahh
2026-08-06 10:10:30
6
@ smile cute thime :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-17 07:03:05
5
Rahma🦋 :
Allah atufahamishe na atusamehe wallah
ni huzuni mno kwetu waislam🥺
2026-08-24 11:13:03
6
Mussa Mngema :
subhana-llah, inna lillahi wainna ilayhi raaji'un😭😭,allah atuwezexhe tuwe wenye kufatilia inxhallah🙏
2026-08-06 20:27:52
7
Tetty Me💞💞 :
allahu akber
2026-09-02 18:03:56
1
Hamisi Mpemba :
allha akbar
2026-10-04 14:32:45
2
Salm Chibu 66 :
Allha atusameeeh🥺🥺
2026-08-28 21:03:51
4
yussuf7769 :
alla atujalie tuisome na kuifundisha
2026-08-31 09:14:13
7
Jamarlaw Hommes :
Ya Allah tusamehe madhambi zetu
2026-10-01 21:06:58
2
Fedha 🥰🥰 :
SubhanaAllah
2026-09-05 08:59:54
1
Eisha Ali :
allahakbar
2026-09-02 10:51:18
1
Ismail K Swaleh :
Subhanallah😭
2026-09-08 10:35:39
2
🦋Deeder🦋 :
Amen
2026-08-06 14:43:26
3
ki money :
Allah Akbar
2026-09-13 08:12:03
2
habibity :
may Allah forgive us
2026-08-21 20:27:29
3
DOGO max :
allah atusamehe
2026-08-18 16:18:10
2
Wanaman Islamo :
Allah atupe wepes katika kukumbuka aloamrishaaaa🥺🥺🥺
2026-10-03 21:16:10
1
Hamisi simba :
Allah akbar
2026-08-06 15:26:16
2
Damtu :
Inalilahi wainailahi rajiuun
2026-08-08 19:31:30
2
To see more videos from user @suleiman._bey, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.