yanii wewe ni shekhe wa duniya Allah akuzidishie Nguvu Afyaa na furaha nyengi nyengiii.
2026-08-06 20:53:03
33
Sajira :
Shehe wetu tunanuniwa sanaaaa hadi mwezi mume haongeiii
2026-08-08 09:04:45
16
BBHMM🎱_999 :
Allah atujaalie husnli khatim
2026-08-06 17:38:57
10
jazilah wa omary❤️ :
sheikh anaongelea waume Hawa Hawa au tutapewa wengine wa kufanya hili?
2026-08-24 08:06:41
2
wp_2020 :
MashaaAlha
2026-08-08 11:47:44
1
umu nawal :
swadaktaaa shekh
2026-08-07 13:29:49
1
mandonga mtu kaz 😎 :
Miez 7 ☹️☹️🙌🙌💔
2026-08-09 06:47:46
1
sis mo :
Allah akuhifadhi shehe wetu
2026-08-07 18:11:27
2
aish Muharram :
wake zake shee waalid wana Raha sn km wanaish pepon Jmn oneni huyuu baba nyie waume jitambueni jamn km shee waalid Allah akuhifadh na wake zako wawe na moyo w iiman
2026-08-09 10:09:55
7
sophiamady143 :
Natamani ungekuwa Shahid kwenye ndoa yangu
2026-08-16 05:48:31
3
user 901 :
Si wanaume wa sasa....
2026-08-07 15:52:02
3
remmy67 :
ongeza volume sheikh wetu
2026-08-08 20:56:50
1
sakina mmanga :
Yani nikikumbuka tulikua tunanuniana mwezi alafu naweka diary na pen kwenye meza ndo tunaongea kwa pen dah!? Bora nilivopewa talaka
2026-08-18 11:30:23
3
Asiye.Wake.Ana.mungu :
watuoneya.sana
2026-08-09 19:05:07
1
Farida Salim :
Sheikh unasema kweli kabisa
2026-08-07 19:03:34
1
wardahnasserismail :
manshaallah
2026-08-07 20:15:54
1
khubaidah8 :
mashaallah
2026-08-06 09:22:19
2
halimarisasi1 :
ma-sha-Allah,waelezee vizuri waelewe 👍
2026-08-06 17:26:17
2
nuraat :
Allah akbarr,,sheikh wetu Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelewesha nakutufundisha vzrrr
2026-08-07 07:04:04
1
Queendelicious :
Mashallah wanaume
2026-08-08 04:50:01
1
user95185246112163 :
shukran
2026-08-06 16:31:18
1
To see more videos from user @1_bey2, please go to the Tikwm
homepage.