@allanwalestz: KUFUNIKA KICHWA KANISANI KWA WANAUME NA WANAWAKE Mwj. Allan Wales (+255) 0710679104

allanwalestz
allanwalestz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 08:23:16 GMT
91913
4387
301
565

Music

Download

Comments

consolata2825
consolata2825 :
amen you are right
2026-08-10 08:52:23
0
rodakyalo679
Roda mcute :
True, may Almighty God give you more strength to tell them the Word🙏🙏
2026-08-10 13:40:19
0
blessed.flo
Flo :
Nikiingia kanisani siangalii yeyote. Ni Mimi na MUNGU wangu.
2026-08-06 09:24:32
49
lovenestory
Loveness Nestory :
Mbona YESU alifunika kichwa wakati wakusali ?
2026-08-06 09:32:48
16
user58283557263915
kaso's :
Walawi 16 : 4 Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa. naomba kuelewa pia kwan apo mahali patakatifu ni wapiii
2026-08-06 16:19:40
19
user1634851178001
hassan kuchi :
uislamu ndio dini ya haki mbele ya mungu kubali au ukatae uislamu ndio dini iliyochaguliwa na mungu
2026-08-07 01:29:58
10
masoudmasoud318
MAOFA :
ALLAH MKUBWA Yesu ni mtumwa wa ALLAH
2026-08-08 08:03:58
1
jamesjastin936
James Jastin :
mim Bora nisilimu tu niwe muislam
2026-08-07 17:04:24
5
happy.willson5
Happy willson :
asante baba ubalikiw mm nimesuka nilitobow masking nilikuw napaka langi niliama kanisangu sababu hawasuk wanapo sali wanafunika vichwa ila kwaneno ulilosoma mtumish nanyoa piy uxiache kuongea nass tujilekebish🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-10 06:51:05
1
user8276848132610
anicia💝💖 :
Imani yako ndo itakayokuponya Wala sio maneno ya mitandao
2026-08-07 11:35:01
7
marthangomen
martha ngomen :
mbona ile move ya yesu alikua anafunika kichwa mda w maambi iii imekaaje
2026-08-09 08:13:36
1
michaelnzani2
mikorio :
MUNGU ni roho wamwabuduo wanapaswa kimuabudu Kwa. roho na kweli "" Mungu angalii mavazi anagalia moyo (roho) koo Mungu sio mwanadamu wakuangalia mavazi " koo hata Hilo andiko uliosoma tafuta maana halisii ya kirohoo sio kibinadamu.AMEN
2026-08-11 07:10:50
2
samsonc875
Samson 🇹🇿🇸🇱 :
Kanisa lako wapi, Mtumishi Mungu akubariki sana, Unasema Ukweli wa Biblia halisi.
2026-08-06 17:23:52
10
mwl.nathaniel.deus
Mwl Nathaniel Deus :
Jifunze KUELEWA muktadha wa Biblia, na Kutofautisha KATI ya DINI NA UKRISTO
2026-08-09 03:58:07
4
kidanux
kida nux :
yesu mwenyew alifunika kichwa pale alipo sali
2026-08-07 05:03:04
0
user7096206878348
dano boy :
unataka tuende wap kaka mungu anaanglia moyo na anajia watu wake ata avae bakili kichwan
2026-08-09 09:16:36
0
okybulk
laurent kandege :
unajua iyo bible ameandika nani?
2026-08-06 16:30:36
1
annie5999
@annie😘🥰 :
amina
2026-08-06 15:59:57
0
happy.willson5
Happy willson :
mtumishi samaan kusuka nywele zetu nidhambi
2026-08-10 06:45:15
1
mohdhassan60271
Moh'd Hassan :
Kidogo kidogo ni jambo la mda tu tutaanza kuongea lugha moja
2026-08-08 21:49:46
0
kakule.wasi4
Kakule Wasi :
mbona yesu kafunika tsake
2026-08-06 09:30:48
0
user4633313265534
user4633313265534 :
Mandishi ktk Biblia yanagongana. Ataovaa Kanzu ya katani, atavaa kofia ya kayani, atavaa suruali ya katani na hayo ndio Mavazi matakatifu. Mbona kofia imetajwa kua ni Vazi takatifu?
2026-08-07 03:36:36
1
eutanche.243
⭐__👑Eustanche⭐__👑 :
nikuambie na'mi pya nikokwenye l'île kanisa alakini akitakafundisha anaitowaka
2026-08-09 04:21:21
0
yusuphsabin1
yusuphsabin :
Sasa mbona YESU alipokwenda kuhubiri mbele ya umati wa watu pale hekaluni alianza kwa kufunika kichwa
2026-08-06 21:12:49
0
juliethmje
🦸 Julieth John mjema :
tupe mandiko tuelewe
2026-08-06 10:26:41
1
To see more videos from user @allanwalestz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About