@drtarimo.01: Pregnant to motherhood journey/Safari ya ujauzito hadi kujifungua. For educational purposes only! #unitedstates #PregnantJourney #usa #FertilityJourney #unitedstatesofamerica #iowastate

AFYA CHAMBER CONSULTANT🇹🇿
AFYA CHAMBER CONSULTANT🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 09:04:11 GMT
53971
2000
113
145

Music

Download

Comments

mrsibrahim177
Mrs ibrahm :
Bc m nk iv mchangamfu san mbn naaz kuogop 🥺🥺
2026-08-07 14:57:26
0
zakhiamussa6
Isabella :
Yaan mm nawaza kufa 2 naona sitoboi
2026-08-06 15:43:34
36
oliva.amon3
Oliva Amon :
me nilishajiweka mikononi Kwa Mungu
2026-08-06 16:11:44
14
naki2306
naki2306 :
naomba mwanangu atoke salama na niwe salama na mimi
2026-08-06 19:58:47
11
maua.miraji.og
Maua Miraji og :
Yani kak Kam unaniona vile
2026-08-06 11:53:32
14
user3426969481167
happy dastan :
mm nawaza kufa jmn hadi nalia
2026-08-07 14:08:36
0
silviagustavo4
silviagustavo❤️ :
dawa ni maombi tu sababu hakuna mtu atakae kuja kukutia moyo, ndo ukute una mume haeleweki utajitesa bure
2026-08-06 21:06:03
4
seviourpascal
Seviour :
Kweli kbsaa mbnaa ni me huyu jmn MUNGU nisaidie me🙄
2026-08-06 16:20:30
4
user8582088655827
mackrina James :
Ndo zinazonitesa saizii jamaniii
2026-08-07 08:27:52
1
phina4819
Phina :
huyo ni mimi wiki 40 sasa nikikaa mwenyewe ni stress tupu hofu haiishi
2026-08-07 05:54:29
4
mchagaaawa
lastborn🥰🥰🥰 :
kwel nawaza sana had nakosa lahaa😔😔😭
2026-08-07 05:56:54
1
sa_mayrah
itsjaz :
doct mi sina raha ,kabis stress n yanayoendelea ya ndoa yng,najikuta nalia tu ,yn nmechok nik n mimba ya miez 6,sijawah kua emotional hv Kuna muda nashindwa ht nifanye nn,ntk tu kua peke yng ,sio mimba y kwan ila ss hv n tofaut sana ..nina msongo🥺🥺
2026-08-06 20:13:17
2
devothakabyemela8
devothakabyemela8 :
mungu atutangulie mawazo mpaka usingz unakata
2026-08-06 19:14:09
2
lizymo3
lizymorofficial :
Sio kweli bna na wala msipende kutia hofu watu mnazidi kuzua taharuki. Badala ya kuongea kutia moyo nyie mnazidisha hofu watu waogope. Nasema hvi hakuna cha stress wala kichaaa kwa mama mjamzito na kama wapo sio wote. Tuache taharuki jmn
2026-08-07 05:33:24
2
babynab5
Baby nabu :
yan nawaza kweli
2026-08-06 12:09:27
2
babeminah1
🌬️♏rs🌬️🦋 :
dokta natapika sana na kutema mate nifanyaje
2026-08-06 15:38:54
0
sophiamdmuhammed
zaituni md :
ni kweliiii kabsa
2026-08-06 11:40:47
1
zuu3603
user90947226933762 :
mim kila siku nalia mpk mimb ndo kwanz miez2 mawazo dah hizi chngamot zang cjui itakuaj na ni kwa op
2026-08-06 12:37:20
2
webby6976
webby :
Mimi nilikuaga nikikaa pekeangu nalia mpaka macho yanavimba ila mimba na kulia cjui Kuna uhusiano gan.
2026-08-06 17:58:16
2
spink64
Popah👩🐬 :
Kweli kabisaa
2026-08-06 18:11:41
1
user6925084550362
B fashion :
Mm sipajui labor ctaki kuruhusu stress Mungu atusimamie wajawazito wote 🙏
2026-08-06 20:46:15
2
user7060277421845
user7060277421845 :
m nilimpoteza wa kwanza apa nawaza sana itakuwaj
2026-08-06 15:01:32
2
sumahiyasaid
Sumahiya Said :
mimi ndo sjielew muda wote nacheka tu nacheza rede
2026-08-07 08:12:44
1
user6353250139001
Delly :
Sasa kama hakuna kinachosumbua utalazimisha?
2026-08-06 17:05:56
0
To see more videos from user @drtarimo.01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About