@visitlakezone_adventures: Tunarudi tena Rwanda mwezi wa December! 🇷🇼✨ Safari hii tutatembelea Lake Kivu, moja ya maeneo mazuri zaidi Afrika Mashariki yenye mandhari ya kuvutia na utulivu wa kipekee. Lakini kabla ya hapo… Mwezi huu wa Agosti tunaelekea Mombasa, Kenya! 🇰🇪🌴 Bado nafasi 2 tu zimebaki. Ukihitaji kujiunga nasi, wahi kuhifadhi nafasi yako sasa. 📞 Piga simu au WhatsApp: +255 622 616 467