On this we agree this guy is a liability but Sasa Sifuna na Riggy G wanaingiliania wapi?
2026-08-06 10:17:30
2
Roy ♥️ :
walai,those people suffered in the hand of chofry
2026-08-06 12:34:54
0
OchiThing Thang Ogwalraluodo :
wambie securty ofisa wote wameingia team ruto until beyond
2026-08-06 12:41:17
0
NANJALA WANJALA 039 :
Ruto tuterm
2026-08-06 10:53:33
0
PSTVTY PTROL 🦉 :
😂😂😂😂😂
2026-08-06 15:34:16
0
Harry :
siasa ni numbers Gachagua baada ya election ruto akishinda watafanya handshake juu atakuwa na wabunge wengi wa DCP na nyinyi mtaachwa kwa mataa my friend, Gachagua amekuwa kama messi hauwezi muekea defence
2026-08-06 10:18:01
2
user65788838120348 :
truuueee mimi heri nipigie ruto kuraa
2026-08-06 09:36:31
2
Celine Nyakol :
mbona anataka kutoa kindiki
2026-08-06 11:31:04
0
@Ubuntu :
good wrk
2026-08-06 10:08:04
1
user Andrew mboi :
tutam
2026-08-06 15:41:54
0
The fourth branch :
hio azimio imejaa watu lazy Sana Wanataka riggy g awafanyie kazi, ndio maana hata Raila alishindwa
2026-08-06 15:34:30
0
chemuu ke🎀 :
🤣🤣🤣its boiling nicely sisi wanatutam ni machos tu😆
2026-08-06 10:14:55
1
Dodi :
Abakie na kangata tuu😂😂😂
2026-08-06 15:03:03
0
Angasy plumber :
as long as uko kwa ruto wewe n adui wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 13:59:27
0
Harry :
hayo yote wanataka kubebwa na Gachagua na hio kama watu wa murima hatuwezi kubali heri Gachagua aende alone kwa debe
2026-08-06 09:56:09
2
Harry :
Riggy is unstoppable hayo wako na wivu juu ni wantam mp na ameweza kuwaibisha Olkalou
2026-08-06 09:55:00
2
Wachira Macengera :
One Tam 😂😂
2026-08-06 11:17:39
0
Mwarabu Wa Kati :
Na amependeza kwel
2026-08-06 12:20:19
0
Gikenyi j @ Master :
ukweli wa mambo
2026-08-06 12:21:44
0
Tokiohk :
acheni wivu😳😳😳
2026-08-06 13:37:56
0
Mutunga Kangata :
ukweli aki tumiona
2026-08-06 15:40:58
0
Shakira :
Very tribal
2026-08-06 12:24:32
0
Harry :
hayo watu wote wanatumiwa na uhuru kutusi Gachagua juu ameshakuwa kingpin murimani na uhuru hajafurahia
2026-08-06 09:57:29
0
To see more videos from user @mandelanelson34, please go to the Tikwm
homepage.