@mariamsillogodfrey10: Shalom Family Niwape kastory kidogo juzi wakati tupo kwenye huduma znz. Kuna mtu alinitumia sms na kunipa taarifa fulani inayohusu eneo ambalo Mungu ameniitia na huyo mtu sina mazoea nae hata na wala hatujawahi wasiliana zaidi ya kusalimiana tena haizidi mara 3, kitu alichoniambia kwa kweli kwa muda huo nilitakiwa kukisikia sababu kuna namna kilitakiwa nikisogeze . Ingawa alivyoniambia alikuwa kama amepanic😄 na nadhani pia alijua kitanipanikisha nikamjibu relax Mungu anachakata. Kwanini nimekwambia hivi kuna nyakati zinakuja unahitaji watu au mtu wa kukupa taarifa iwe mbaya au nzuri nakuombea Uwe na ujasiri wa kupokea sababu haijalishi itakuwa na maumivu au furaha Mungu anataka uisikie sababu hiyo taarifa inatakiwa kukuvusha. Uwe na moyo wa ujasiri. Muwe na siku njema🙏❤️ #tanzaniantiktok🇹🇿 #viraltiktok #dodoma #kenyantiktok🇰🇪ticktoktanzania🇹🇿

mariamsillogodfrey10
mariamsillogodfrey10
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 09:34:58 GMT
20008
2040
188
123

Music

Download

Comments

hk.ginna
hk ginna :
information is a powerful 🙌
2026-08-09 10:31:01
0
fatmammassy805
Fatma Mmassy :
Amiiin
2026-08-07 15:28:26
1
shuuthebosslady01
Iam.shuu🥀🤍✅ :
Ameeen Ameeen 🤲
2026-08-06 22:28:53
3
rehema.ramadhan74
Mam jo 🥰💎 :
Amina napokea
2026-08-07 06:41:50
1
raymondelisha0
Elisha simukoko08 :
ameni
2026-08-09 17:19:39
0
caterina01cut
cathecut1 :
napokeaa ameni
2026-08-09 18:46:00
0
liliechacha365
lilie chacha :
AMEN MUNGU ufanye kitu kwaajili yangu baba☺️☺️
2026-08-07 06:00:51
1
gapple35stv
gapple3 :
ameeeeeen
2026-08-09 19:47:05
0
dylove570
keinaa 🥰🥰 :
MUNGU ni mwemaaa amenipa huyo mtu🙏
2026-08-07 19:24:06
2
naifath.baby
Naifath Baby :
Amen napokea katika jina la yesu🙏
2026-08-09 07:39:03
0
linahbeloonline.s
linahbelo(online service) :
ameen ameen ameen ameen ameen ameen ameen 🙏
2026-08-09 14:48:18
0
lucy.the.great7
Lucy the great💫💫 :
napokea huyo mtu kwa dam ya yesu
2026-08-07 06:02:57
1
baha05746
Dorine blessing :
amen 🙏🙏
2026-08-07 03:24:41
1
teonasmwanga
Teonas_Mwanga :
Amina mtumishi wamungu 🙏🙏🙏🥰
2026-08-06 20:22:41
0
amin_a805
amin_a :
Amina sanaaa ubarikiwe mtumishi
2026-08-06 13:31:58
1
caterina01cut
cathecut1 :
napokeeeeeea kwajina la yesu kristo alie haiiiiii oh aleluya
2026-08-09 18:47:53
0
shakirandauka
love :
Ameen🙏
2026-08-09 06:53:07
0
martha96854
Martha :
amen
2026-08-06 10:52:56
0
hopekasmoda3
Hopekas :
amen 🙏🙏🙏
2026-08-08 20:17:09
0
greater5035
Greater :
Amen.
2026-08-07 08:15:00
2
user4999791854498
user4999791854498 :
@amen
2026-08-09 07:21:14
0
cute.berry.58k
cute berry 58k :
Ameen
2026-08-08 21:36:47
0
hauletelesia
miss nyakyola :
amen
2026-08-08 20:53:49
0
maombimulemera
lajoie :
Amena
2026-08-06 11:17:26
0
To see more videos from user @mariamsillogodfrey10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About