@asadiqmedia: MITUME HAWAKOSEI JE NABII ADAM A.S ALIMUASI MUNGU SWT..? #creatorsearchinsights #Swafar1448 #tanzania🇹🇿tiktook #islamic_video #quran_kareem #tanzaniatiktok

Asadiq Media
Asadiq Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 13:00:00 GMT
1084
42
4
3

Music

Download

Comments

threesixtyonedigrees
Abuu Idrees :
Adam(a.s) hakua nabii. Nabii wa kwanza alikua Nuh(a.s). Adam na wanawe kabla ya Nuh walikua wakiishi katika fitra.
2026-08-08 17:22:45
0
adnaningungwipara
Adnani Ngungwipara :
na hilo ndio tatizo la watu kuukata ukweli..adam alikosea tena aya nyingi tu zinasema hivo na ndio maana Allah akamsamehe....kama hajakosea msamaha ulikua wa nini ???
2026-08-08 19:59:46
0
barbarosa752
SHEKS :
Yote hayo ni MITIHANI ya Allah na ni Mipango ya Allah ili watu tujielewe kila khatwa Mitihan na Kila khatwa Duaa hadi Leo tunajadili mitume yetu A.S na MITIHANI yao
2026-08-08 17:51:53
0
To see more videos from user @asadiqmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About