@johnson.kanoute0: tunakuombea kwa mungu kaka akurejeshe salama legend wetu

johnson kanoute
johnson kanoute
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 09:59:14 GMT
18224
751
66
25

Music

Download

Comments

enocklazaro603
EnockLazaro@&34 :
mmmmh makubwaaa
2026-08-10 13:05:54
0
mussastephano6
Mussa stephano :
kaka mungu akurinde popote ulipo akuepushe na mabaya yote.
2026-08-06 15:01:03
6
dorica.amos63
Dorica Amos :
duh! Mungu akulinde buruba kokote uliko
2026-08-07 05:47:43
2
happy.subbi
Happy Subbi :
Mungu akulide jamani
2026-08-08 17:57:47
0
user9272479794985
Esther ❤️❤️ :
Dahh mungu amlinde huko aliko ili aludi salama
2026-08-07 04:56:25
2
janethrobert48
janety :
kaka mung awekeee ulinz juuuu yako jaman ☺️☺️☺️
2026-08-06 12:26:14
1
user7052873858781
bwana Joel :
polen ila mungu yup
2026-08-07 21:25:15
0
enock.zacharia6
Enock zacharia :
naomba awe salama popote alipo mungu atafanya maamuzi
2026-08-07 19:22:21
0
shukrani.katigula
Shukrani Katigula :
aise bado hajapatikana tyu
2026-08-08 20:28:59
0
dizo1219
Dizo@12 :
n mke wake je
2026-08-08 09:11:59
0
essie90238
~essie🦋~ :
ww
2026-08-06 10:40:46
0
cmatta165
COSMAS :
hivi hii inshu imekua serious kweli Mungu wangu mrejeshe mwalimu wetu wa kanda ya ziwa
2026-08-07 07:09:47
2
shedrack.marco7
shedrack marco :
mungu akulejeshe kaka urudi jaman
2026-08-06 18:36:04
1
user7254948436938
rebecc :
Kak rud ukiwa Salam mungu sikia kilio chety jamn
2026-08-06 19:36:57
1
sandemjeda10
sande mjeda :
tunakufunika na damu ya yesu kristo popote ulipo zidi ya watesi wote na ukatoke ukiwa shujaa
2026-08-07 05:03:43
1
user9252901461343
anolina chaula :
eeee Mungu tunaomba uyasikie Maomb yetu apatikane akiwa salama
2026-08-07 19:33:45
0
barackchacha387
Barack Chacha :
jamani kakaangu mungu akuoko kwa jina la yesu krisko wa nazareth, amina. nimeumia sana kakaangu kusikia ivyo.
2026-08-06 21:00:37
1
suzannebunga
sue :
Mungu akutunze akuwekee ulinzi wake. kibinadamu hatuwezi looted.
2026-08-06 12:00:27
1
joseph.kabadi7
Joseph Kabadi :
tumuombee buruba alejee salama jamn wapendwa katik bwana
2026-08-06 18:59:46
0
user1562922719610
frola wilisoni :
jamani mwalimu wetu
2026-08-07 14:11:12
0
user1787290716974
Lizzy yohana klw :
jmn buluba mungu akurejeshe nyumbani sarama bila chochote kibaya kukugusa Amina🙏🙏🙏
2026-08-07 18:36:07
0
vicentokal
vicent :
jamani mbona siamini. 🥹🥹 ivi kweli kumbe,!! jamani Mungu amlinde sehem ambapo yupo
2026-08-08 19:00:25
0
neema.mitindo
neema mitindo :
jaman? kaatwa na nn huyu mwalimu wetu jaman? mwenyezi mungu atamlejeshatu Kwa Imani namungu atamsaidia
2026-08-07 17:45:25
1
neyb055
Ney B💞 :
yupo anajitafuta mwenzenu mtu mzima uyo hawezi kupotea 💪
2026-08-07 14:42:58
0
user3573770486122zakay
zakayo pekosi :
mungu atamlinda tyu
2026-08-09 21:24:46
0
To see more videos from user @johnson.kanoute0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About