@mkongolee: Hii ni dhambiiiii ya fashoooniiiii 😂😂😂😂

Jitu Jeusi
Jitu Jeusi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 10:17:27 GMT
126698
9189
978
379

Music

Download

Comments

bimzurii3
Bi mzuriii 🫂 ♉️ :
Me nachokaaaaaa 😂😂😂ilaaa nahisii wataniii hua wanahis barid uwanjaniii
2026-08-06 15:25:32
2
radically92
radically :
jezi ina mawimbi km voice note 😂😂😂
2026-08-06 11:33:22
262
faithlaison
Faith Laison :
Nkajua emoji za voice note😂😂😂
2026-08-06 16:02:35
0
hajjitiktok.comdmh0
CNAJINA 📫🙄 :
alie angalia video hii siku ya aliamc gong likes
2026-08-06 10:32:33
320
mr.nomadicboy
Nomadic boy :
Jezi nzuri ukifumba macho
2026-08-06 10:46:52
197
mimah.de.bleez
mimah de bleez❤️🫂💫 :
Daaah km vimistari vya voice note🥺😂😂😂
2026-08-06 11:34:30
2
lizy.1170
Lizy 118 :
Sijui ita kuaje Jua liki waka 😂😂😂
2026-08-06 11:25:33
98
itc.mau
mauh :
jezi za mpira mpaka vichuchu nje nachok me🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 10:57:58
57
user8655074156361
D'mkossa. :
Mbna me naoman vijola2 guys Kwan Kun jez ap😆😂
2026-08-06 12:04:46
0
queenmabawa
queenmabawa :
Hii jezi ukiingalia mda mrefu Unapata kizunguzungu 😂🙌
2026-08-06 11:57:15
40
florajohn145
Flora john 🍎🍎🍎 :
duuuuuuuuh Wana batiki laund hii😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-06 12:03:07
2
mozerabdallah
Mozer Abdallah :
anaesema jezi za simba kali kuliko za utopolo like apao😂🤣🤣🤣
2026-08-06 11:46:22
220
casshboy
CasshboyTz🦔🪶 :
arrows game au😆
2026-08-06 10:53:26
5
slimfast44
🌼Libna🌼 :
Kuwatetea yanga kunataka moyo😂😂😂😂
2026-08-06 11:24:05
54
pnahmomo2
pnahmomo2 :
hakiyako kucheka mimi ni Yanga lakin dah💔
2026-08-06 11:25:45
5
user6624086233123
frola sliyvester :
kukaa upande wa yanga yataka moyo
2026-08-06 12:53:45
8
trayjr4
Junior 14 :
Jezi zinachekesha kama yanga sio timu yako
2026-08-06 11:54:45
13
ramadhanimpela1973
Latty🐁🇹🇿 :
tunaoangalia mchana huu na wifi za Bure tujuane 😂
2026-08-06 12:19:16
7
raymah230
Raymaah :
bora hata sis tumetumia mifuko ya rambo ya zaman hiki nin sasa😂😂😂
2026-08-06 12:40:57
5
mbwana400
Mbwana400 :
yaani km vile ndio mwisho wa movie sasa hp ndio majina ya washiriki yanapanda🤣😂
2026-08-06 11:26:14
23
user4617779457618
Grace💞 :
jezi zinachekesha kama yanga sio timu yako 😂😂🤣
2026-08-06 15:06:51
6
george.lyimo49
0nLy oNe liTtlE G 🎧🪛 :
tatizoo lilianzia kwenye kulazimisha njano kuwa gold😂😂
2026-08-06 12:13:34
13
e..z227
Eliza: w :
Hutu tumisitali tunakazi ngani et wataalam
2026-08-06 10:41:14
7
To see more videos from user @mkongolee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About