@coy_mzungu: Ifike wakati mnielewe kuwa @mamamawigi ni mbambiko jamani hebu vaeni viatu vyangu mjue ninayoyapitia halafu mseme kama ni wewe ungefanyaje

@coy_mzungu
@coy_mzungu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 10:39:50 GMT
578327
60709
1970
726

Music

Download

Comments

niffah2025
Niffah20 :
JUSTICE FOR JUMA JUX
2026-08-09 07:32:47
1
fety0025
fetyochu02 :
sisi bado tuko upande wa mama bhana🤣🤣
2026-08-06 11:31:21
870
fedrick.emmanuel7
Fedrick Emmanuel :
aah kumbe ww ndio wigi kaka😳
2026-08-06 18:32:49
775
suzysteraty
Jennifer outfits arusha :
mnao koment kwa hasiraa msicho kijua coy na mamake ni watani pia nimarafiki sana
2026-08-06 15:32:57
308
baddie.with.beard
Baddie with beard 🫦🍑 :
😂😂😂nasubili comeback ya mama mawigi
2026-08-06 16:42:19
12
janethsaimon8
baby momi🍁🍎🍎🌻🦋 :
hii kitu ni kama kichekesho lkn inaumizaaa nakuelewa bro
2026-08-06 16:31:20
157
mtataiko_jr
zero :
genetics zime balance
2026-08-06 12:44:53
46
user5117656735155
marisu🥰🥰🥰 :
just for funny
2026-08-08 20:43:42
1
mrsathuman
Ms ngajilo♥️ :
ndo maana alijiita mama mawigi hakutaka kutumia majina yenu alikuwa mbele ya mdaa😂
2026-08-07 06:15:40
31
rosesanga635
Rose chocolet🌹 :
unamchokoza mwenyewe hij vita nitakuwa upande wa mama mawigi 😂😂😂
2026-08-06 15:55:34
170
marselastuut4
Marsela Stuut :
Bora hata nyie mnawaona mamazenu muwaombee miaka mingi San kakayangu
2026-08-06 20:54:39
12
nana.balthazar
Nana ♥️💄🧸 :
Sema unakosea ujuee 😂😂
2026-08-06 15:46:06
6
rannynurruseba2
Ranny-nurru Seba :
Mama mawigi na mpenda kutoka 🇺🇬😘❤️❤️❤️
2026-08-06 17:55:00
9
11deleusto03gwasa
11DeLeusto03Gwasa27🇹🇿🇷🇼😷 :
Na sio mama tu na mnafanana haswaa 🥰👌🏻
2026-08-08 06:26:33
11
user6734798179027
@puresmile🥰🔥 :
kumbe na ww ni mchekeshaji 😂😂
2026-08-06 18:02:42
6
nulu616
elfuy :
nimelia nanimecheka.kakaang nawez kua mdg wako,kuna ki2 kimeningusa san.ukiona sasa nakuomb jb
2026-08-07 12:06:20
7
zubedamae
💫KISUNZI MCOAST 💫 :
😂😂😂mama ako kazi 😂vile nampenda mama mawingi acha tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-06 17:31:52
8
glasswiyne
glasswiyne :
hii vita haiishi mpaka iishe😂😂😂
2026-08-06 18:27:26
5
lozina.sanga
Lozina Sanga :
koy Acha kumkufulu mungu kuna watu hawana wazaz nawalitaman shukulu umepatq mama mchekeshaji ambayee anakupa furaha mda wotee
2026-08-06 10:48:01
166
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Kumbe we ndo unamtibua 😂😂😂
2026-08-06 21:00:52
7
teodorangundala
Teodora Ngundala :
mama Ako yupo kikazi zaid Wala sio jaribu Hana tatizo kabisa
2026-08-06 11:49:29
98
martha.yasry
Martha yasry :
mimi nimgeni uku, kwani uyu ndio wigi w mam mawigi🥺
2026-08-06 12:12:45
76
marrymassay
Ms m@y@ 😘✨ :
mim nipo nasubiri majibu kutoka kwa mama mawigi 😂😂😂
2026-08-06 12:41:23
8
jofreymligo
Official-Joe💫 :
Mama yupo kazini😂😂
2026-08-06 13:00:30
8
efelister
Felie 💖 :
🤣🤣🤣🤣 aki ya Mungu nmecheka jaman
2026-08-06 11:41:14
5
To see more videos from user @coy_mzungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About