waache wanitukane ila matusi hii inalipwa ikifika mwisho wa mwezi yote kheri 😏
2026-08-06 17:33:17
5
shazimina 💞 :
Umesahau 2 kipenz
2026-08-06 16:46:28
1
Sr evan gilberte :
end month nilipwe🤣🤣
2026-08-06 13:41:17
2
FatMima's Wear✨️👜👠 :
Kuna hii yaitwa zuli sijui ina maana gani
2026-08-06 16:25:27
1
Kéké🌹 :
unavyo yataja hayomatusi😂😂😂
2026-08-06 18:42:49
0
Prime 🌟Vee ✨️ :
ata hayo matusi sina mda nayooo😏
2026-08-06 19:00:13
0
zuuu❤️❤️❤️ :
Vp kuhusu (tuma)
2026-08-06 18:27:01
0
beibe kageshy💋🥰💕 :
mm staki kujua matusi itanipa pressure bure
2026-08-06 18:39:27
0
user8674782134962stressyanini :
😂😂mimi wakitusi watakuwa wanajitusi wenyew maana hainishutui bora fulus haina tusi
2026-08-06 19:10:35
0
city :
Jamniii
2026-08-06 18:09:46
0
Sarona sweet cake🎂 :
umesahau yamala
2026-08-06 17:57:41
0
mama nay🇹🇿🇴🇲 :
mim Wala sijali kikubwa wanipe tu pesa yangu
2026-08-06 18:00:50
0
@ :
Watukane tu ikifika mwisho wamwezi wanitumie risiti kwenye simu yangu
2026-08-06 17:52:42
0
moyo wa subira :
hebu niambie maana ya malguv😅😅😅😅😅😅sije ikawa natukana wanangwa tu
2026-08-06 16:48:44
0
shamy bby🇹🇿❣️🇴🇲 :
Yakawaida sanaa😂😂😂😂😂
2026-08-06 19:34:52
0
🦋🦋Miss G🦋🦋 :
uzuri siwaelewi nahatuelewani watajua wenyewe mimi siku zangu zinaenda🤣
2026-08-06 17:50:06
0
mra og :
usuri wanatufundisha wao wenyewe maana wasipo ongea hatuwezi kuyajua na me kitu ninachofanyaga wakiniambia kitu kika nipa mashaka huwa nawarudishia tu na namwambia nini me sijaelewa
2026-08-06 17:22:52
1
user4350241347001 :
umejuwa matukano pekeyake?
2026-08-06 13:38:33
3
its muney :
matusi ya kikwenu je?😳
2026-08-06 18:21:30
0
Susan Thomas :
Bora fulus matus ni yao
2026-08-06 19:14:45
0
To see more videos from user @dida_hass, please go to the Tikwm
homepage.