@bazah.cooper:

Bazah cooper
Bazah cooper
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 06 August 2026 11:18:00 GMT
21291
1591
28
11

Music

Download

Comments

josephmwaniki343
Mwasjoe :
Mimi nayo kuwa witness is a big no ata unilipe..nishawahi gongwa 14 days remand kwa kuwa witness wa uongo😂😂😂😂
2026-08-06 15:32:28
12
07foxy
kinyaunyau :
nilikuuliza judge kuvuja kalamu inamaanisha ajeee
2026-08-06 11:34:04
1
user6007355203724bablo
bablo :
what if daktare amemiss court 4 times na mwenye umepiga ako na witness mmoja???
2026-08-09 16:43:13
0
goniuku
Weezy :
Bro Kuna mtu kwa area yetu alianza kiniibia tangu 2022 mpaka Leo this year ameniibia simu mpia last week ameniibia tena nimechoka naye nimereport kwa police station ya kwamba ameniibia 600k je nikimshika court ajaweza kunilipia hiyo pesa? 🙏🙏
2026-08-06 11:28:53
1
gideon_with_300_soldiers
Gideon_with_300_soldiers :
thanks bro sikua nashughulikaga na vitu ka izo Wala kuzisoma
2026-08-28 17:26:49
1
vincentbalozi
vincentbalozi :
watu wengi wanaogopa mambo na kesi sana ata kama ni rafiki yako hawezi simama na wewe
2026-08-06 11:25:09
3
silversterine
Silverback@11 :
Lazma shahidi hata kama uko na video record
2026-08-08 20:10:48
0
joscal01
user4812965096979 :
Ukweli
2026-08-06 18:26:59
0
junya.nyangena
junya nyangena :
akiandika statement kama saidi ni lazima uende court
2026-08-06 13:00:14
0
apostlesimeon.rutto
Apostle Simeon Rutto :
kweli
2026-08-06 11:21:57
0
msonjobuoy01
msonjo 💯 :
kuna msee nilipiga akanichukulia adi p3...through this guy nikachanuka naivyo ndio nliamini ata ukiwa na p3 naww sio mjanja uezi funga mtu😂
2026-08-06 15:31:31
0
blalstupid
blalstupid :
sasa imagine uko na kesi ya defilement na ukweli haukukula na daktari anasema ulikula hapo sasa witness watatoka wapi
2026-08-06 12:16:10
1
kiunduani.medical
Kiunduani Medical :
Mimi nimekua Na makesi Kaa Soo but kutumia akili kiasi unawin juu huyu man amenichanua
2026-08-11 19:22:15
0
kingloiykigapo
king Louis :
😅😅😅
2026-08-06 11:31:07
0
muhammadomondi1
Donnas kaota khobo :
🥰🥰🥰
2026-08-11 08:03:15
0
To see more videos from user @bazah.cooper, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About