ukifika hapo anakuuliza unaionaje serikali ya awamu ya sita😂😂😂😂
2026-08-06 15:20:36
392
mtanzami :
nimepita hapo kula miwa ya jero tunapiga stori ananiuliza braza unavyoona kwenye hii serikali nani anakwamisha mchakato wa katiba mpya😀
2026-08-06 19:48:07
111
Last born1997 :
Me ndomana sitakagi ujuaji kabisa 😂
2026-08-06 13:37:10
21
MONTANA OG :
ukifika anakuuliza unauonaje mchango wa rais Samia katika taifa letu 😂😂😂😂
2026-08-07 05:18:15
71
**£mmy🦅 :
Si yupo kazn
2026-08-06 13:50:23
25
Ammy :
mimi juzi nawahi sgr nilipita apo nikakuta anashushwa na v8 nyeusi na jamaa wanamwambia baadae kiongozi nikajiuliza miwa inalipa kiasi hiki ........
2026-08-07 11:10:11
22
sarah 🌺 :
amevaa tie yake ya mamlaka 😂😂🙌
2026-08-06 18:24:47
21
Kush🤍🦋 :
Mtu asiwe smart😂😂
2026-08-06 15:37:34
23
user3433989850892 :
duuu Kuna siku na mimi nitajikuta TikTok maana Niko one wey na toroli langu ila nimeulamba balaa🤣 utafiki afsa mikopo wa NMB🤣 wayii sitachoka kujipenda
2026-08-06 16:03:48
32
Antho💓 :
msije mkanipost jamn nauzag bando la kubust nanenane😁😁😁🤣watuu tusipendeze khaaa
2026-08-07 07:24:29
5
Jacky Kibangu :
Watu wasijipende jamani
2026-08-08 09:56:44
1
SHEDAFA1% :
Ni system kila Konaa 🔥🔥
2026-08-06 16:52:55
3
mkondya classic :
stol zake ni kuhus Samia na serikali yake 😂
2026-08-07 18:15:22
1
princessnono_2025 :
Yupo oficn kwake😅😅😅
2026-08-06 17:37:59
3
T_BEAUTYSALOON_DODOMA :
ukimuuliza miwa bei gani atasema 1000 si unajua uchumi wetu kwa sasa🤣🤣
2026-08-07 12:11:31
6
Marrygoreth🦋 :
Si jirani yangu huyu jaman kaah 😳
2026-08-06 15:30:41
5
princessnono_2025 :
Kazi kazi 😅😅😅
2026-08-06 17:37:46
1
tumahallyally :
Yuko vzr mtu lazima uwe smart kazini😅
2026-08-08 11:38:02
3
eunieeunie0 :
Watu kwa kujiamulia mambo
2026-08-06 18:54:10
1
lucjax :
sasa mtu anaenda kazini avaaje?
🤔🤔🤔🤔🤔
2026-08-07 09:56:28
1
officialnah97 :
mtu ashindwe kuwa smart jmn 🤣
2026-08-07 16:56:44
2
Angel🦋🦋 :
sasa mtu asipendeze kazin kwake🤣
2026-08-06 17:58:26
4
M.M.S_Pochi kali :
Na mimi nishone suit uku nauza mikoba machinga complex😂
2026-08-06 15:54:39
5
To see more videos from user @dalali_dee_dodomaa, please go to the Tikwm
homepage.