mungu atusaidie wote tunao tafuta watot cku ambay haina jina na sis tutapat watot 🙏🙏
2026-08-06 18:51:04
127
Mimi mae :
nataman skumoja namm niitwe mama flan
2026-08-06 12:29:05
238
it's meenah🦋. :
na mm nitakuwa mama tu ipo cku Amina.🙏
2026-08-06 22:41:29
24
Emmy cute :
samahn icho alichokaloa ndy kinauzwa shngp❤️
2026-08-06 15:07:40
26
user17386240612311my theo :
hongera
2026-08-07 01:05:31
0
-baby isha🦋🦋 :
utamficha mpk lini sasa😂
2026-08-06 13:40:45
14
Zuuh :
ukiachana na kinauzwaje kwanza kinaitwaje
2026-08-06 17:00:11
10
mabachelor💍💗💗 :
kwan uyomtot mbona mnapend kumficha
2026-08-07 03:12:28
6
sanaya :
Hongera kipenz🥰
2026-08-07 10:11:50
1
user9388413338500 :
mungu amkuze zaid
2026-08-07 10:37:11
1
Suzy 890 :
i lov u naj
2026-08-07 13:32:05
1
Shuu_smooth😊 :
Binadamu nao jmn akimuonesha sura utasikia mtoto atapata husda cjuh macho ya watu fyoko fyoko😏 akimficha utasikia tunataka tumuone jmn kwel fanya kitu roho inapenda👌🙌
2026-08-06 17:53:26
10
Al_KHAIFY :
Najma naomba bei ya hio alokalia mtoto maana na mm mtoto wangu mda Umefik sasa wa kukaa
2026-08-06 16:16:46
8
swaumzubery :
hongera
2026-08-06 16:49:44
1
zay mindu :
mama huyooo
2026-08-06 17:32:32
3
Ashuna🥰❤️ :
MashaaAllah
2026-08-06 19:33:53
2
Msodokyy joseph :
safi
2026-08-06 19:02:19
2
Ella :
hata ufichu mimi najua mtoto kafanana na babaake baby oli 😂😂
2026-08-07 00:58:23
5
V baby :
baby olii
2026-08-06 19:17:02
3
Mrs_dully og01⚡💫 :
ongela jamn kipenz
2026-08-06 18:07:12
5
aminah :
umekuz hongel mway
2026-08-06 17:50:42
4
Violeth Sanga :
Anamiez mingap
2026-08-06 18:27:32
3
To see more videos from user @fionah72, please go to the Tikwm
homepage.