@devoo.kompaa: ARABIC SINGELI KOMPAA@Devoo Kompaa Backup #creatorsearchinsights #beatsdaisychallenge #musiclover💜🎵🎧🍃🎼 #musiclover💜🎵🎧🍃🎼

DEVOO King 👑 Kompa 🎹
DEVOO King 👑 Kompa 🎹
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 12:14:34 GMT
36962
3390
95
90

Music

Download

Comments

user52107812084212
🥀🥀Hŏṣ̌ŧí msŏďoʻƙì🥀🥀 :
nitajie nyimbo sasa nianze mistali🫠🫠🫠😔😔
2026-09-01 23:11:08
5
_middy_2
🌸it's Middy🦋🎀🧸 :
Naanzaje kwa mfano labd unipe njia ya kumsahau man kam kuimb nmeimba saaan😔🥺🥺🥺
2026-09-09 19:07:07
5
grammy8539
grammy :
Devoo
2026-09-04 08:43:48
1
zummytz1
🧕 ZUMMY..Wa.Jabbar☝️❤️ :
tupeane like bas kipnz jaman 🥹🥹🥹
2026-08-24 18:48:14
3
saddar_tz
mr wizzy :
kaka😭😭😭bas tusamehe tu machozi yanaisha
2026-08-07 20:42:14
2
user7909837868366
kond boi :
"angesema kipi anakosa ningemfanyia" angesema kosa langu nisingerudia. mana kaondoka sababu sijui kakimbia.🥰🥰🥰
2026-08-31 10:13:05
2
omarydilunga797
Omary Dilunga 32 :
mapenz yanatesa watu weng mapenzi yanaumiza watu wengine. . unapenda pasipo pendwa alafu unakuja kutemdwa yanauma yanauma mapenz naliya kisa mapenz 😭😍💔
2026-08-12 21:57:29
2
idishabani6
idishabani :
oya imenikumbusha mbali sana ii beat daa😭😭😭😭😭
2026-08-29 18:49:32
4
deejaymanyweretouchzy
Dj MANYWELE TOUCHZY :
🔥🔥🔥nomaaaaaaaa
2026-08-06 12:37:20
1
d.killer72
D KILLER🗡️🌐🎸🎤💎 :
Kuna mda natamani niseme yoteee,ila naishia njiani,yalonikuta yalee,ndo yamenifanya hivi Mimi,ety nisimuwazee,anipendi tena Mimi,maskini hasara rohoo,nilijitoa sana kwake,sikuwa mchoyoo,nilijinyima yeye apatee,kaninyang'anya furaha ya moyoo,Hana haja nayo akatupee,Mimi huyu nikipenda tena mnipige mawee,Mimi huyu labda nipagawee..ahaa😔😔😔💔💔
2026-09-09 08:53:00
3
king_brand58
King brand 👑👑 :
Ipo siku nayeye atalia kama ninavyolia mimi😔😔
2026-08-29 19:32:29
2
stijani4.voice
STIJANI4👑 :
br nipenafas 2fanye kaz
2026-08-10 19:44:10
1
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-22 09:30:44
2
donard.patrick
BRAND ⚘️TZ🇹🇿 🍀officiar🍁🍃 :
ninakupend kpnzcha nilikuweka uwe moyowang umeondoka umeniacha pekeang naumia nikikumbuka ndoto zet 2lizo zipanga zimevunjika.zimekua majang agaaaaa dj naomb ilo beat nipite nalo
2026-09-17 22:57:39
1
official_lizermusic1
ČĂŔÎŅØ🍁🍁 :
NTAKUTAG
2026-08-06 12:40:17
0
trick254pro
trick pro :
2026-09-29 16:53:47
1
khadijamasoud400
Qalib salim 🫀🤍 :
Daaah 😭😭😭
2026-09-26 16:13:45
1
queenybreezy
Queeny Breezy :
𝗪𝗲𝗲𝗲 𝗗𝗲𝘃𝗼𝗼 𝘂𝗻𝗮𝘃𝗶𝘁𝘂 𝘃𝘆𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮𝗮𝗮
2026-09-24 08:03:48
1
chotara479
CHOTARA🇹🇿🇰🇪 :
kaka uanapatikana wapi nmependa iyo beat natak nitoe ya moyon
2026-10-08 15:58:57
1
amaningatumbara
Amani Ngatumbara :
umeniongopee kusema anaipenda,me sijazani leo kunipiga shegaa, moyo inauma gaz,, umeuvunya jambazi umewafata wenye pesa amechoka kunywa chai andaziii
2026-09-17 14:22:04
2
mrs.dax.beauty
mrs dax beauty :
napenda ila xidhan kam anjua thamani ya upendo Wang at
2026-10-05 15:19:33
0
user7380429116901
YDDY :
saruti kaka
2026-09-27 20:16:55
2
mrs.aliy31
💔😭Aunty naa🙌 :
2026-09-30 12:25:21
1
madizzo53
MAD_TAL£NT👑 :
ngoj me nipite nayo hii kali
2026-08-06 15:57:24
1
To see more videos from user @devoo.kompaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About