@evodiachambulikazi: Wanaume wengi wamepoteza familiazao kipindi wanapitia wakati mgumu kiuchumi na bado wapo wanaopitia hili na wengine watalipitia pia kwasababu jamii imeweka thamani ya mwanaume kwenye pesa
Kweli kunawanawake Kweli diniani wewe mama uko Malaika kabisa
2026-08-07 04:39:24
1
willy mwaitege :
🥰🥰🥰surely
2026-08-06 12:24:38
0
Ibra :
nikweli kabisa dada hata Mimi hapa hayo ymenikuta kunakipindi nilipitia maisha magumu mwanamke akakimbia ila kwasasa mungu amenisaidia mambo mazuri yeye yupo huko Hana kitu
2026-08-07 05:01:15
1
magadula :
ubarikiwe Binti dada yetu
2026-08-07 03:41:05
1
IZIGIHE Prosper :
Asante sana ubarikiwe
2026-08-07 02:25:10
1
Evodia Westoni Chambulikazi :
Video nzima ipo youtube
2026-08-06 12:29:10
3
Obegiu Ramathan :
dada asanti sana mungu aku jaliye sana katika wanawake wote una luha nzuri sana
2026-08-06 17:19:46
2
ANETH WISTON :
sina ham mm na wanaume nimemtuza maiaka mitatu han kazi nikamtafutia kazi alivyopata hukohuko kazin akakutana na mdada akawa nae leo anaomba msamaha
2026-08-07 04:54:52
1
agnes_26tng :
kweli sahihi.kumbuka ulihangaika nae kwa shida, namkafanikiwa watoto 5 .malipo fanikiwa yeye anaondoka na Mali zote kwa mchepuko Mali imeisha huko ndiyo alundi nyumbani.hapo ndyo maana wanateswa
2026-08-06 13:01:36
2
Kilua Bernado :
We Dada ungetakiwa uwe mshauri wa ndo Duniani, You real deserve it.
2026-08-06 13:43:54
2
Hassan Gk 2003 :
Nakufatilia Sana ewe dada angu
2026-08-06 13:33:13
3
Ali Masha :
kweli kabsa wana wake hawana uvumilivu
2026-08-06 15:05:09
2
Steve :
🔥🔥🔥 mwanaume... ukiona izi signs tupa yy na usiregret
2026-08-07 02:36:07
1
user4502715474908 :
mtumshi wa mungu nkwali unatufundisha sana mtoto wa mungu ubarikiwe sana 🙏 dada naomba mungu akusadie afungue milango yako jmn
2026-08-06 14:27:24
2
Abdul Said Hamisi :
Hii Mimi ndio inaeleza kunihusu yale ninayoyapitia,Huyu Dada Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
2026-08-07 06:24:52
0
Augustine Thotho :
💯 percent ukweli mtupu
2026-08-07 06:11:49
0
mystery :
my wife left me with my 2 children in 2017 after loosing or collapsing of nakumatt...sijai oa tena
2026-08-07 06:05:40
0
Jay :
hiyo ni ukweli kabisa
2026-08-07 06:03:35
0
frank :
thanks
2026-08-06 17:36:59
0
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm
homepage.