@nala37901: Replying to @emilynne90 Leo nasomesha watoto wangu mambo ya wakubwa😅

NaLa🐈
NaLa🐈
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 12:29:51 GMT
123653
8779
750
608

Music

Download

Comments

tanzania_movies
Tanzania_movies :
huyu nala huyu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 02:40:46
2
em563670
Eddy :
kuna huyu wangu anasubir tutoke aibe mboga
2026-08-07 11:09:33
283
_efxfradeex
_fřäďēé_Ęfx﷽☪ :
wait! whatt??????
2026-09-20 15:28:14
1
sabswety
Sabysweety❤️ :
We Leo ndio nimeamini nala c paka ni mtu c kwa kusikia maneno hivo
2026-08-06 13:25:09
198
lumko317
😺😽هُرَيْرَة🐾 :
nala nakuinulia mikono umenishinda ata mm 😂
2026-08-07 07:45:37
61
saidajuma89
Iddah :
Nala kamuelewa kungwi😆😁
2026-09-01 14:55:01
10
babypinky165
baby Pinky 💞 :
nala unanichiti
2026-08-08 14:29:37
54
user6505391214504
love💕 :
kiufupi nala alikua anasubiri kauli ya baba asijeleta wajukuu ukamchamba bure😁😁
2026-08-07 12:03:26
80
zakia.ramadhan019
Zakia Ramadhan :
Sasa nala mbona unajua mapenzi hivyo😂
2026-08-23 00:51:17
33
mimahkharid
Mimah Khan :
Nimecheka ila wew kaka 😂😂🙌
2026-08-27 06:32:51
13
munny0385
munny girl🥰 :
Nala kungwi unae kwa kwel😄😄
2026-08-06 12:51:32
77
doy.sazy
Doy Sazy :
nala ni 4G ataki kuchelewesha mambo yn
2026-08-07 08:57:01
36
hudaiyah10
🦋 Ashley Lubuva🦋 :
Kuna mtu kasema hii ni AI 😂
2026-08-06 16:05:23
6
typing5988
Typing 45 :
nala ana beib me bado nipo single nimambo gan ayaa😂
2026-08-07 07:45:54
22
mwanaali961
mwanafation😍 :
😳😳 tobaaaa nala simuwez🙌🙌
2026-08-07 08:13:37
15
zulekhasuleiman18
katotooo :
eeeh kumbe nala hajapoa yuko vizuri kanizid at mm😂😂😂😂😂
2026-08-14 20:54:13
8
mohamedhamza5762
Mohamed Hamza :
hhhhhhhhhhhhh leo umeuwaaaa ankoo nimecheka hatar
2026-08-07 10:47:13
12
lennyjoe15
lenny💋 :
😂 wanatengezaaa mtu nala 🙌🏻🙌🏻
2026-08-07 07:57:19
12
chammy464
Chamy handmade 🪡 :
Amfikicheee🤣🤣
2026-08-07 11:22:05
6
monyoph
its-Carol :
imekuaje ameelewa
2026-08-07 10:24:50
7
user5222919086975
user5222919086975 :
Kha! Huyo nala 😂😂😂😂 na akasikia kweli
2026-08-06 15:20:13
17
mimar_love
Halima❤️ :
jamn Auzubilaiiiiii 😂😂😂
2026-08-07 10:14:05
9
miss.elym
🥰Elym❤️ :
umejua kunichekesha wallah😂😂mpk nimepigwa kofii
2026-08-06 17:08:14
5
powerfull.assist
Big fish :
Meet pricy 😁
2026-08-07 08:47:20
5
mompoppyy
Mom poppyy🐶❤️ :
Mbona kiboko pembeni jaman 😂
2026-09-20 06:59:32
2
To see more videos from user @nala37901, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About