@nyebowsa_media: Kutoka Ughaibuni Mkato @roma_zimbabwe bado analinda lango Verse yake kwenye “Black Belt Part 2” Ni noma ngoma ya kwake @staminashorwebwenzi akiwekwa verse na mkongwe wa hizi kazi @gnakowarawara ambayo pia inabaraka kutoka kwa Majirani 254 Kenya hapa na mzungumzia Mzee mzima @khaligraph_jones #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #romamkatoliki #tanzaniantiktok🇹🇿
Nyebowsa_Media
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 12:53:10 GMT
Music
Download
Comments
Grace John :
nashukuru haijatajwa goverment
2026-08-06 18:38:10
4
falidhi mafioso :
umemsikia G NAKO
2026-08-06 18:25:39
1
MouddyMouddy :
Mbona Kama kamchapa mwanetu wa dodoma
2026-08-06 13:26:14
0
MR. BONY(lony❣️) :
namba nyingine hii .watulie kabsa .Roma 1✌️
2026-08-06 13:10:19
1
@mwaissa47🦁 :
jina la wimbo please 🙏🏾
2026-08-06 14:22:33
0
Frank de jong jr :
👍
2026-08-06 18:49:28
0
KINDOKIWANAMAN :
nakubari kaka
2026-08-06 18:47:02
0
J@y Kyaruzi :
Dah jamani aliyemchokoza bro amchek amuombee mxamaha
2026-08-06 20:59:54
0
senior :
duh kaka hili vers siopoa broo
2026-08-06 20:51:33
0
Badi haruna :
apo kwenye skanka
2026-08-06 20:51:57
0
maishak8 :
G Nako kwa chorus ni mkali😂
2026-08-06 21:19:03
0
Mhksin Abuu :
hakika bro
2026-08-06 13:16:17
0
shaka zulu 🤔🤔🤔 :
alie mchokoza Roma nan
2026-08-06 20:27:10
0
teophil Jr :
waraah the kankaraaah
2026-08-06 19:46:36
0
George Juma :
jamaaa unajuaa sana Roma
2026-08-06 21:29:55
0
godfrey francis :
usiogope kuwaogopa serikari
2026-08-06 20:51:52
0
baba ake iq :
jina la punch wakuu
2026-08-06 15:18:31
0
Amos Macheni :
g. nako fire
2026-08-06 22:09:18
0
cornel_conaldo🔹️ :
wana wanaeka D kwenye P 😆😆
2026-08-06 18:38:25
0
Omary Mputa :
mwambieni mchambuzi wenu achambue na hii
2026-08-06 19:19:45
0
D@st@n :
wana wanaweka Dic kwe po😂😂😂😂
2026-08-06 19:17:52
0
jackson paul :
umeyatimbaa😂😂
2026-08-06 21:16:15
0
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.