@zouiurembo: ✨ Biashara nzuri huanza na bidhaa zinazouzika kwa urahisi! ✨ Tops zetu zina ubora wa hali ya juu, hazichubui masikio na zina miundo mizuri inayovutia wateja wa rika zote. Ni bidhaa inayozunguka haraka na inaleta faida nzuri kwa wafanyabiashara. 💰 Packet (PKT): TSh 18,000 📍 Location: Congo Stand, Kariakoo 📞 0650611801 Tunafanya delivery ndani na nje ya Tanzania. Wahi kuagiza wakati stock bado ipo!