Bon Dieu je te remercie chaque jour que je me réveille en bonne santé je te remercie beaucoup de nous avoir donné ce beau vendredi Moubarak mon Dieu je t'adore Dieu a le dernier mot
Litakase jina la mola wako mlezi alie juu kabisa.
alieumba na akaweka sawa.
na ambae amekadiria na akaongoa.
Na akaotesha malisho ya wanyama.
Na halafu akayafanya makavu meusi.kisha Aya zikasema tutamsomesha mtume wetu Quran naye atahifadhi.
Wala atasahau chochote katika hivyo ila apende mwenyezi mungu.🔥🔥🔥 ( SURAT AL AALLA
2026-08-07 17:49:27
0
To see more videos from user @quran_story04, please go to the Tikwm
homepage.