@pastormunishi: KIPAWA talent NI DHAHABU gold KWA ALIYE NACHO Mithali 17:8 [8]Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa. A gift is as a precious stone in the eyes of him that hath it: whithersoever it turneth, it prospereth. MUNGU NDIYE HUTUPATIA VIPAWA Waefeso 4:8 [8]Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa. Wherefore he saith, When he ascended up on high, he led captivity captive, and gave gifts unto men.
huyu Mzee wetu hazeeki,,,,ama kweli mtu wa Mungu Aishi miaka mingi ya baraka,barikiwa sana mtumishi
2026-08-07 06:18:51
24
Justin J J :
Wimbo mtaaam sn...
vp upo YouTube?
2026-08-06 13:53:30
8
Munishi Faustin :
MALEBO AKIKUBALI ATAOSHWA
TUPA TAKA UOSHWE KWA DAMU YA YESU
1 Wakorintho 6:11
[11]Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
Warumi 5:8
[8]Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.
2026-08-06 15:12:34
7
kirima :
may God keep blessing you haki long life
2026-08-07 19:21:54
1
TryBless-254 :
ubarikiwe sana
2026-08-06 16:32:11
2
Joyce Mbuvi :
good work Pastor.what is the name of song.
2026-08-11 02:07:11
0
Eras :
wimbo unaitwa aje pastor,
2026-08-09 09:52:11
2
MD :
Asante pastor barikiwa na kupendea hilo tuu
2026-08-07 18:53:05
3
gihozo :
asante sana Munishi
2026-08-06 22:23:11
1
davis :
mungu akuongese miaka nyingi
2026-08-20 10:59:17
1
lameck :
hii wimbo Iko u tube
2026-08-07 12:34:50
0
musa pendo :
JINA LA NYIMBO HII NIGANI MTUMISHI
2026-08-07 08:26:46
1
BabaMashManuuShiks :
kazi safi kabisa
2026-08-07 03:53:28
1
Benjamin mutua :
Napeda sana pastor Munishi
2026-08-08 09:22:34
2
Mc mussa entertaiment :
nabalikiwa sana wacha na IA
2026-08-06 22:22:29
1
mariage j :
Nabarikiwa sana nyimbo zako utunzwe na YESU 🫡🙏
2026-08-07 05:09:08
1
daniel onsongo :
Aki napenda hizi manyimbo yako amen and amen
2026-08-07 00:16:30
1
mayaniwesley :
nimefurahia Sana mtumishi Kwa original sounds yako sio Ile ya AI
2026-08-07 05:23:29
1
BRIEFERS :
🎙️microphone Moja inatosha mzee
2026-08-06 18:50:26
2
Ras mamboleo family :
Thanks you God
2026-08-06 19:54:51
2
Rev, :Wilfred Apima. :
sasa hii ndo sauti napenda kusikia sio Ai
2026-08-06 19:44:41
3
Sir.Bassanio :
Kazi safi mtumishi🔥wimbo mzuri kweli 🙏
2026-08-08 09:16:03
2
lydyahnyaboke :
Then who can resist, since God is so sweet, he blessed his servant with sweet songs?
2026-08-06 17:14:55
2
MWISHO WA KOSA :
apo sasa mhubiri napenda ukawaida wa sauti mambo ya AI wachana nayo, hivi sasa🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏
2026-08-06 16:46:05
2
To see more videos from user @pastormunishi, please go to the Tikwm
homepage.