@zanzibar871: vichogo

ZANZIBAR😎
ZANZIBAR😎
Open In TikTok:
Region: AE
Thursday 06 August 2026 13:37:42 GMT
12341
226
25
33

Music

Download

Comments

misszanzibar_og
MISS ZANZIBAR OG :
Tunawapenda vipenz vyetu
2026-08-24 04:03:25
2
fbi08036
@USELA PESSA## :
Waambie viongoz wenu wavunje muungano kama wanaweza😂😂😂
2026-08-06 13:47:40
1
abdul.hafidh02
Abdul Hafidh :
mbona ivo
2026-08-25 18:41:33
1
zulfa_asedy
zulfa_asedy :
kundu lako
2026-08-08 12:23:13
0
mansab.mudathir
mansab mudathir :
2026-08-27 21:48:44
0
mbadala2027
Mbadala :
Mtu na kaka yake wanatuonea Znz na Tanganyika
2026-08-22 06:45:27
1
mrs.nofel2
Mrs nofel :
sisi znz kila tukiwa kidogo ndio furaha yetu
2026-08-06 15:30:42
3
topus304
Topus :
ipo siku 2 utafinga mdomo wako
2026-08-06 21:32:06
1
ummidullah5
Ummi Dullah :
swadakta
2026-08-08 16:10:29
0
agentmoyo0763411222
tanzania kigamboni viwanja :
nyumba viwanja mashamba yard beach
2026-08-07 13:51:10
0
kuruthumu.mohamme
tuache chuki za kijinga😏😏 :
sawa
2026-08-06 16:53:00
0
ali.jadu8
Ali jadu :
kwa ushahid chukua rasimu ya warioba na utafiti wake wa katiba mpya wengi wa zanzibar walitaka serekali 3 sio 1 wala 2 🤣🤣🤣 kua wanataka muungano ukae pembeni
2026-08-07 08:23:09
0
user41135518017784
kareem :
mawishimiwa lisu sio mwanasiasa Bali yeye ni mwana sheria
2026-08-08 11:57:59
1
amoura_as122
잔ㄴ지발 :
kweli kabisa
2026-08-07 11:36:29
0
moussa.rafii
Moussa Rafii :
ukweli asilimia 90 wananchi watanganyika hawana habari na mungono uwepo usiwepo wao saw tu wao adui wao maisha yao wanapiga kazi tu awamini mafanikio yapo ktk kungana au kuto kungana
2026-08-06 14:42:20
3
lizzy.eli.msuya
Lizzy Eli Msuya :
eti mtot wa zuch ni mzanzbr au mtanganyik namafua msinichambe
2026-08-08 09:50:35
0
chaliichalii1
Chalii Chalii :
waambien viongozi wenu wavunje muungano wote si wanzanzibar
2026-08-07 10:46:33
0
zakiaramadhan51
nyra :
hangaika na aghera Yako dunia utaiacha
2026-08-13 17:40:35
1
venus.samuel8
God first 🙏 ✨️ :
Sisi binadam tulio Hai kuna mchongo tunaoufuatilia na huo mchongo ni Kifo lazima utiki hivi karibuni Sio kichogo wala mzanzibarii
2026-08-08 08:09:51
0
ramso.boy34
ramso boy :
maamuzi yenu zanzbar ni yapi cc vichog 2p0 tayari
2026-08-29 09:44:18
1
ebrahimosman6285
ebrahimosman6285 :
🇹🇿💯🫶✨️✨️✨️✨️🙏
2026-09-02 05:52:45
1
zuwenaabdullakham
Shaghala kujidai :
😅
2026-08-06 14:35:07
1
khamismanywele
Khamis Manywele :
🙏🙏🙏
2026-08-06 14:32:51
1
To see more videos from user @zanzibar871, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About