Alaf kuna mim nlikuwa nafanya kaz sehem cku ambayo nimeanza kaz kumbe kuna dada alianza kufanya kaz apo akastopishwa nikareplace mim nafas yake nyiiie yule dada alvyoona mim nimewekwa kwenye nafas yake akaja apo oficn ilikuwa ni pharmacy ila ni kubwa inavyumba vi2 kama stoo ya kuhifadhia dawa akaingia mule ndan hata uoga hana akawasha moto mim nimekaa mapokezi sina hili wala lile nashangaa tu mosh mzito unatoka stoo ndo kwenda kuita watu yule mdada alikataa kama ni yeye ndo kafanya hivyo akamsingizia mlinzi jaman nyiiiie wadada sisi😢 mwishowe nikaona tu nicje kuwekewa sumu nikaacha kaz na maisha yanaenda tuwe makin tunaishi na magaidi🥺