@mahela.nyankali: Kesheni 🚨🚨

Mahela Nyankali
Mahela Nyankali
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 13:41:18 GMT
10668
1363
39
290

Music

Download

Comments

oneafrica30
Kijana wa vitendo/Tanzania ♥️ :
Mpaka sasa Nina miezi zaidi ya nane bila kwenda kwenye ibaada,na watu wananiona Mimi muasi lakini kunamaswali magumu ambayo Mimi najiulizaga nakosa majibu ila basi siku nikiwa na uhuru wa kiuchumi nitaanza kwenda kanisani maana hata kanisani nilikuwa naenda ila mawazo yapo juu nikitoka kanisani nitaenda kula nini😳,yaani uko kanisani ila unawaza maisha ya nje nikaamua nitulie japo sasa Mimi ni muasi,ila Mungu anajua hatima yangu,somo zuri sana hili mchungaji, Mungu akubariki 🙏
2026-08-07 06:08:00
4
mwangi.muringa
Mwangi Muringa :
umenigusa sana mtumishi wa Mungu hata sielewi nifanye Nini juu ya maisha yangu
2026-08-06 13:51:49
7
godfrey2075
godfrey2075 :
AMINAA SANA MWENYE MASIKIO NAASIKIE KILE ROHO AYAAMBIAVYO MAKANISA
2026-08-07 08:03:08
5
user6537051531749
Zion Watchman 🗡️⚔️ :
MUNGU atusaidie sote huwa kuna kipindi kama hiki
2026-08-07 15:51:11
2
aminiel46
Aminiel :
Amen
2026-08-06 15:58:40
1
danielytheadventist
Director Daniely | Creative :
Usipuuzie!
2026-08-16 07:55:33
1
chuibedline77
bedlinechui :
Seminar zenye hela siku ya SABATO
2026-08-06 17:39:11
2
kubojabrand
KUBOJA BRAND :
Amina🙏
2026-08-17 05:46:56
1
user7455436139991
MAHINA MELINYANZA JR :
kiongozi naomba unisaidie ktu we huwa unatoa wapi haya mahibiri
2026-08-07 04:34:51
1
user1342525813239
Mfungo :
mungu atusaidie kusimama katika kweli yake
2026-08-06 13:51:31
2
righteous1759
Righteous :
MUNGU anza na me nijifunze sasa kusimamia ukweli
2026-08-06 14:50:08
4
emmanuelmachuryaa
Blessing❃۞ :
amina sana ....na hii situations naipitia sana Ani ata sabato ya jana tarehe 15/8/2026 ninashuhudia Aya maneno anayoyanena pastor, vitisho vingi sana lakin tusiache kuomba utukufu wa mungu na ujasiri wa kiroho
2026-08-16 14:01:33
1
edward9370655762640
Edward mpagama :
hii nikweli kabisa sema tunapuuziza babisa
2026-08-08 07:50:49
2
kaka_justine_shop
Kaka Justine Shop :
[Sticker] 👍👍👍
2026-08-06 16:39:10
1
user4634062476191
mwebesa gidion :
amen
2026-09-14 20:29:04
1
egm1995
EGM1995 :
hakika hii kitu jamani acheni tu💔
2026-08-07 20:41:24
1
user1200230611977
bharikeka :
amen
2026-08-07 17:40:07
1
emmanuelmachuryaa
Blessing❃۞ :
kwann Yani maneno ya MUNGU na kahubiri yanakuwa na like ndogo sana???
2026-08-08 06:01:15
0
baraka.mapesa31
baraka mapesa :
amina
2026-08-28 09:17:08
1
erastothadeopeter
Erasto Thadeo Peter :
👏👏👏👏
2026-08-06 17:46:47
1
samuelmutamba09
Samuel mutamba :
🥰🥰🥰
2026-08-10 19:26:30
1
therealtalkroom15
Jamal Banks :
🙏🙏🙏
2026-08-07 17:44:46
1
macregan90
Macregan :
😃😄😅
2026-08-06 19:42:52
1
kariuki.msabato
kariuki msabato :
💯💯💯
2026-08-13 20:08:31
1
To see more videos from user @mahela.nyankali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About