wallah kama yuko mdad wa hivi pliz anitafte dm tuongee please 🙏 🥺🥺
2026-08-06 20:44:30
1
Pepcarlo_Master60 :
Absolutely bro 🥺👍
2026-08-06 15:28:24
0
Danie_Burah👑 :
Kama Yupo wa Hivi naomba anidm 🥺🥺
2026-08-06 15:37:25
18
lonley :
respect
2026-08-06 15:10:57
0
zamzam :
huyu ni mm na mwisho Wasiku kanikimbia nilimvumilis juu ya umasikin wake 😭🥹🥹🥹naumia nikiamin ipo siku tutapt na ss jpo sio utajir ila tutakua navyetu visivo na masimango😭😭😭😭😭
2026-08-07 07:04:27
6
zee la code :
dhahabu ipi unayoiongelea 🥺😳
2026-08-06 20:58:35
2
Tresa💦 :
nilijitoa hivyo niliishia kuachwa tu 😔😭
2026-08-06 20:18:40
5
Jadee London 🇹🇿🇫🇴🇴🇲 :
Wa hivyo anapatikana sayari gani niende nikamfate 🤔
2026-08-07 15:50:49
0
@TEKLA🦋 :
Tulishavumulia San na kujitoa San lkn mwish tulibk kweny usalit tu
2026-08-06 21:03:01
3
🌸Mom Nasreen🌸 :
npo hap nimetelekezw na mtot na nimelambwa block kila pembe ya dunia sio message,tiktok,whatsap dooh maskin mm
2026-08-06 21:27:16
2
Danny dee :
mwanamke wa aina hiyo ameshafaliki mwaka 1990 bro
2026-08-07 15:32:38
0
╭─ 𝐁𝐚𝐛𝐚 𝐀𝐛𝐝𝐮𝐥 ─╮ :
INSHALLAH ALLAH NIPEE KAMA HIYU ASEMWAYE NAMI NITAMPENDA DAIMA ALLAH AKBAR♥️
2026-08-07 09:36:20
1
🎀 Super Tall 💕 🎀 :
nlikuepo ivo enzi za uhai wangu
2026-08-07 14:54:06
0
DAYLAZO [ official] :
sure
2026-08-07 14:20:36
0
sharfu 🇹🇿 :
mungu naomba kama huyu😳
2026-08-07 13:40:53
0
sandeo saadi :
umesahau Moja ya muhim☺️☺️☺️☺️
2026-08-07 08:22:06
1
captain Lee :
namhitajii mm hapa
2026-08-07 13:53:10
0
MAN TO MAN :
nilikuwa na mwanamke kama uyo nilivyo anza tu kujipata akaniacha aise
2026-08-06 20:53:58
1
Story Za Dully :
😅 Hivi vitu tutaishia kuviona kwa simu, live hakuna kabisa, tutafuteni pesa wanaume
2026-08-07 11:59:21
0
LATIFAH 🍓 :
We dhahabu ni dhahabu bhn🥺😌😂
2026-08-07 11:27:12
0
🐻🅼︎🆁︎ 🆂︎🅼︎🅸︎🅻︎🅴︎🧸 :
sasa mbn kila mtu kavumilia na wamefanikiwa 🤣🤣wakna nani hao walio fanikiwa
2026-08-07 15:57:10
0
salidano :
ata niwe nimelogw huyo simuach wakuu
2026-08-07 12:15:03
0
BRINA🦋🌍 :
Nilikuaga hivi kipindi nikiwa binti mjinga nikijifanya mvumilivu kumbe wanaume hawana shkran🥺
2026-08-07 13:12:34
0
To see more videos from user @gee.lazaro, please go to the Tikwm
homepage.