@cawabemedia_: Mfanyabiashara maarufu, Azim Dewji, amesema mtu anayetaka kufanikiwa anapaswa kwanza kuwa na msimamo wa kukataa hali ya umaskini na kujenga misingi ya uaminifu katika safari yake ya mafanikio. Akizungumza kuhusu siri ya mafanikio, Dewji amesema watu wengi waliofanikiwa kifedha walianza kwa kuwa na maono makubwa na uamuzi wa kubadilisha maisha yao, huku wakizingatia uaminifu kama mtaji muhimu wa kufikia malengo. "Mtu akiuikataa umasikini hawezi kubaki maskini. Matajiri wote waliofanikiwa walikataa umaskini. Mtaji mkubwa wa kufika kwenye utajiri ni uaminifu wako, ndiyo unaofanya ufikie malengo," amesema Dewji. Amesisitiza kuwa mafanikio hayajengwi kwa fedha pekee, bali yanahitaji nidhamu, bidii, uaminifu na uwezo wa kusimamia fursa zinazopatikana. Kauli hiyo imeendelea kuhamasisha vijana na wafanyabiashara kuamini katika juhudi zao na kujenga tabia zinazoweza kuwasaidia kufikia malengo yao ya maisha.
cawabemedia
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 13:59:09 GMT
Music
Download
Comments
MoneMTz Investors HUB :
Build your portfolio, not just your lifestyle.
2026-08-30 19:39:30
0
Dukani kwetu :
hata mm naona ukifanya kazi usiku na mchana utatajirika
2026-08-06 16:17:16
2
Genious Refrigetion :
nimekuelewa , ya allah msamehe makosa yake na umuingize janatul fridaus
2026-08-30 16:23:58
0
Dihi :
nikweli kabisa
2026-08-06 14:07:42
0
Rose Mwitumba :
Amina Ameeeeeen
2026-08-29 13:55:10
0
Peter Siame :
very true my father uwaminifu ni utajiri tosha tuwe wahaminifu tu
2026-08-28 04:42:22
0
Sayuni Ayman :
mimi kwakweli mnisaidie tu b8dhaa ya mali kauli inanishinda naona nakuwa mtumwa kila siku hupunzika lazima utoke ukatumikie pesa za watu hairuhusiwi kuumwa
2026-08-28 12:56:43
0
moiz :
ni kweli kabs
2026-08-28 13:25:56
0
Sergeuser81 :
l un un pnhio😂😁🙏👍🥰jfo nn g
2026-08-23 12:01:42
0
OMMY BUSINESS.POUVOIR :
nakuamini hakika
2026-08-26 06:41:19
0
Faridy Said :
kuna mungu
2026-08-27 11:25:24
0
jazila :
nikweli kabisaa
2026-08-09 06:40:57
0
SiTiFan0🥰✌ :
😁😁😁
2026-08-28 00:10:13
0
9991 :
👍🙏
2026-08-26 13:42:51
0
toto lekerere mollel :
🥰🥰
2026-08-28 05:10:49
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.