@samy_cosmeticstz: Nubian Queen Cocoa Butter Jelly with Vitamin E, ✅Husaidia kulainisha ngozi, kupunguza ukavu na kufanya ngozi ionekane yenye afya na yenye mng'ao wa asili. ✅Vitamin E - Ni antioxidant inayosaidia kulinda ngozi dhidi ya uharibifu unaosababishwa na mazingira na kusaidia ngozi kubaki laini. Inafaa kwa nani? ✅Wenye ngozi kavu (dry skin). ✅Wanaoishi maeneo yenye baridi au upepo unaokausha ngozi. Tsh 50,000 📞0743,202062 Tupo Kariakoo mtaa wa mafia na bonde #goviral #fyp #cosmetics